Habari wana JF.
Nikiwa mtanzania na mshabiki mkubwa wa Taifa stars na Manchester United ila leo nikiwa nasikiriza kipindi cha sport extra cha Clouds FM, ndiyo kipindi pekee huwa nasikiliza cha radio hiyo, nimeshangaa kumsikia Shaffih Dauda akilalamika sana kitendo cha Okwi kuruhusiwa kucheza Yanga, yaani nusu nzima ya kipindi analalamika tuu na ameingia na Katiba ya FIFA akinukuu baadhi ya vifungu na kupinga kwa nguvu Okwi kucheza, swali je hayo ni maadili ya utangazaji? Ninavyojua mwandishi na mtangazaji unatakiwa kuongelea ulichopata huko kama ni TFF au uwanjani nk. Pia mtangazaji unatakiwa kuficha ushabiki wako kama kina Charles Hilally, nk, ameenigia studio kama msemaji wa Simba, maoni yangu huyu hafai Kuwa mwandishi wa michezo.
Nawasirisha.
Si mtangazaji kwa kipindi cha Sport Extra tu? Hata angekuwa hivyo usemavyo, ndiyo aonyeshe moja kwa moja ushabiki wa Timu fulani? Nionavyo, haitetei Simba, anaona haya kwa jinsi baadhi ya makala zake zilivyokwishaihukmu Yanga kuhusiana na swala la Okwi. Anatetea msimamo wa makala hiyo, bila ya kujua kwamba anajiumbua zaidi. Kumbuka pia kwamba yeye ni kiongozi wa TFF pia (kupitia mojawapo ya Kamati zake).shafii dauda si mtangazaji.. Yeye Ni mchambuzi wa soka. Mtangazaji wa kipindi cha sport extra Ni bwana Luambano. Kwaiyo shafii hajakiuka taratibu yoyote hapo. Kachambua taratibu za soka zilivo.
huyo mzee ndo muuwaji mkubwa wa soka...Wacha Mzee Akilimali amshukie tena
Habari wana JF.
Nikiwa mtanzania na mshabiki mkubwa wa Taifa stars na Manchester United ila leo nikiwa nasikiriza kipindi cha sport extra cha Clouds FM, ndiyo kipindi pekee huwa nasikiliza cha radio hiyo, nimeshangaa kumsikia Shaffih Dauda akilalamika sana kitendo cha Okwi kuruhusiwa kucheza Yanga, yaani nusu nzima ya kipindi analalamika tuu na ameingia na Katiba ya FIFA akinukuu baadhi ya vifungu na kupinga kwa nguvu Okwi kucheza, swali je hayo ni maadili ya utangazaji? Ninavyojua mwandishi na mtangazaji unatakiwa kuongelea ulichopata huko kama ni TFF au uwanjani nk. Pia mtangazaji unatakiwa kuficha ushabiki wako kama kina Charles Hilally, nk, ameenigia studio kama msemaji wa Simba, maoni yangu huyu hafai Kuwa mwandishi wa michezo.
Nawasirisha.
Hivi kuchambua katiba kumbe lazima uwe mwanasheria!? Sasa mbona bunge letu la katiba lina wawakilishi wa makundi mengine kama vile wavuvi, itakuwaje hapo?...kwanza sijawahi kuona mchambuzi wa soka akawa mchambuzi wa katiba ya FIFA wakati sio mwana sheria....
Habari wana JF.
Nikiwa mtanzania na mshabiki mkubwa wa Taifa stars na Manchester United ila leo nikiwa nasikiriza kipindi cha sport extra cha Clouds FM, ndiyo kipindi pekee huwa nasikiliza cha radio hiyo, nimeshangaa kumsikia Shaffih Dauda akilalamika sana kitendo cha Okwi kuruhusiwa kucheza Yanga, yaani nusu nzima ya kipindi analalamika tuu na ameingia na Katiba ya FIFA akinukuu baadhi ya vifungu na kupinga kwa nguvu Okwi kucheza, swali je hayo ni maadili ya utangazaji? Ninavyojua mwandishi na mtangazaji unatakiwa kuongelea ulichopata huko kama ni TFF au uwanjani nk. Pia mtangazaji unatakiwa kuficha ushabiki wako kama kina Charles Hilally, nk, ameenigia studio kama msemaji wa Simba, maoni yangu huyu hafai Kuwa mwandishi wa michezo.
Nawasirisha.
Habari wana JF.
Nikiwa mtanzania na mshabiki mkubwa wa Taifa stars na Manchester United ila leo nikiwa nasikiriza kipindi cha sport extra cha Clouds FM, ndiyo kipindi pekee huwa nasikiliza cha radio hiyo, nimeshangaa kumsikia Shaffih Dauda akilalamika sana kitendo cha Okwi kuruhusiwa kucheza Yanga, yaani nusu nzima ya kipindi analalamika tuu na ameingia na Katiba ya FIFA akinukuu baadhi ya vifungu na kupinga kwa nguvu Okwi kucheza, swali je hayo ni maadili ya utangazaji? Ninavyojua mwandishi na mtangazaji unatakiwa kuongelea ulichopata huko kama ni TFF au uwanjani nk. Pia mtangazaji unatakiwa kuficha ushabiki wako kama kina Charles Hilally, nk, ameenigia studio kama msemaji wa Simba, maoni yangu huyu hafai Kuwa mwandishi wa michezo.
Nawasirisha.
Si mtangazaji kwa kipindi cha Sport Extra tu? Hata angekuwa hivyo usemavyo, ndiyo aonyeshe moja kwa moja ushabiki wa Timu fulani? Nionavyo, haitetei Simba, anaona haya kwa jinsi baadhi ya makala zake zilivyokwishaihukmu Yanga kuhusiana na swala la Okwi. Anatetea msimamo wa makala hiyo, bila ya kujua kwamba anajiumbua zaidi. Kumbuka pia kwamba yeye ni kiongozi wa TFF pia (kupitia mojawapo ya Kamati zake).
Sikushangai, hata jina ulilochagua kutumia linathibitisha u mtu wa aina gani.nchi hii inamatoyoyo mengi sana..yaani mtu ameongelea sheria zinasemaje..wewe unaleta umbulula..