Shaffih Dauda ajirekebishe

Shaffih Dauda ajirekebishe

Jeff Lea yupo Azam Tv siku hizi kila siku saa mbili usiku. Jeff Lea, ally Mayay na Edo wako juu sana. Hawa wengine umbea na mahaba.

Mkuu UMENENA Na Hao Ndiyo Sports Analysts Bora Kwa Sasa Kibongo bongo Na Siyo MAPOPOMA Sihofii Na Maksudi Wa Sports Extra Na Hapo NAMKUBALI Mtu Mmoja Tu Kaka Alex Luambano Na Anakubalika Mno Na Sana Na Huwa Sipendi Kukosa Kama Akiwa Anatangaza Yeye Kwa Vionjo Vyake Na Pia Haonyeshi Upande Wowote Japo NAMJUA Ni Mshabiki, Mpenzi Na Mwanachama Wa MNYAMANI Wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club.
 
Awe realistic na kukatisha tamaa kwa watu hasa vijana km manyika wote wamempongeza kuanzia dida,kaseja,ivo nk wamempongeza iikiwa ni kumpa nguvu kuwa anaweza ila walimwambia ajitume zaidi sio km shaffi kuponda tu eti wajibu wake hukunwajibu huo huomhauoni pale alipowasifia kina mkude, twite na nyiyonzima
 
Ukiniambia jeffy lea,mayai na edo hawa i salute them kila niwaonapo na kusikiliza kwa makini si shaff
 
Achani unazi shafii daudi anajua mpira tatzo la wengi wetu ni chuki binafsi
 
Ila ukweli ni kwamba kwa game ya Yanga na Simba yule dogo Manyika Jr hakuna michomo ya hatari ambayo aliichomoa, hapa tukubali tu kuwa uzembe wa foward za yanga ndio unaompamba huyu dogo ila kwa ujumla hana kipya..kwa ile game ya simba na yanga shafii kasema kweli tu!!!
 
dogo ndio hakupata michomo mingi lakini anachosifiwa ni kuwa confident na game kubwa kama hii halafu ndo kwanza game hii kwake ni debut..
 
Shafii mnafiki sana. Alitakiwa kumpa credit yule dogo kwa kutoruruhusu goli, kwa kuwa ndo ilikuwa ni mechi ya kwanza, alafu tension ya hiyo gemu ilikua kubwa sana.
 
Ila ukweli ni kwamba kwa game ya Yanga na Simba yule dogo Manyika Jr hakuna michomo ya hatari ambayo aliichomoa, hapa tukubali tu kuwa uzembe wa foward za yanga ndio unaompamba huyu dogo ila kwa ujumla hana kipya..kwa ile game ya simba na yanga shafii kasema kweli tu!!!

Jaja na wenzake wamempandisha chat sana huyu dogo. Hakuna mipira iliyopigwa na kuipangu kiasi cha kumsifia.
 
Kuna kitu kinaintwa daemokrasia wanayo haki ya kusuta na kusifia na kila mtu ana elimuyake na akili yake na kama yeye kaponda basina wewe usiache kusifia

Hiyo DEMOKRASIA ndo inatufanya tumsute Dauda hapa leo. Jamaa ni wa hovyo japo anafanyaga vizuri mara chache. Tatizo kubwa la Dauda huwa anapenda kutofautiana na wengi hata kama wako sahihi na wana hoja. Kwa huyu dogo

Manyika Junior kama ingetokea watu wengi kumponda basi Dauda angekuja na hoja ya kumsifia.
Nilikuwa namuona Manyika Junior akipanga mabeki wake pia akijiamini golini pamoja na kuokoa michomo michache lakini kwa umri wake, uzoefu mdogo na ukubwa wa mechi kiukweli mtu wa mpira kama Dauda hakutakiwa kuongea aliyoongea.

Ndo maana baada ya game makipa wazoefu kabisa ambao bado wapo uwanjani Kaseja na Ivo walienda kumpongeza kwa furaha, na natamani kujua walimwambia nini, sasa Dauda inakuwaje ABEZE? Naonaga mara nyingi Ally Mayayi akitofautiana na Dauda, waga nafurahi sana
 
Kiukweli niliangalia ile mechi kwa makini lakini sikuona kashkash zozote goliki kwa Simba, ila namsifia dogo Manyika kwa hali ya kujiamini aliyoionesha.

Safi, umeeleweka. Kujiamini pia ni sehemu ya kufanya vizuri kwa gk
 
Huyo Jamaa Amenishangaza Sana Jana Na Ni Dhahiri Kuwa Ana Chuki Na Uongozi Huu Wa Simba Kwani Nimeambiwa Kuna Dili Alikuwa Analifukuzia Na Anataka Kulifanya Na Simba Na MNYAMA Wamemtolea MBAVUNI Na Pia Anatumika Na Ibrahim Masoud " Maestro " Kueneza Chuki Kwa Simba Kwani Maestro Alitegemea Naye Kupewa Cheo MNYAMANI ila Na Yeye Pia Kapigwa DOCHI LA MBALI. Nina Mengi Msiyoyajua Ya Kumhusu Huyo MITEGE Safiiii Na BINGWA WA USHIRIKINA na MAJUNGU Akiwa REDIONI na MICHEZONI Maksudi! Na NIMEMTOA RASMI KTK LISTI YA WADAU WA MICHEZO NILIOKUWA NAWAHESHIMU HAPA TANZANIA na SASA ANAINGIA Moja Kwa Moja ktk Kikosi Cha " MAPOPOMA ".

deal gani hilo mkuu
 
Ila ukweli ni kwamba kwa game ya Yanga na Simba yule dogo Manyika Jr hakuna michomo ya hatari ambayo aliichomoa, hapa tukubali tu kuwa uzembe wa foward za yanga ndio unaompamba huyu dogo ila kwa ujumla hana kipya..kwa ile game ya simba na yanga shafii kasema kweli tu!!!
Umesema vyema mkuu, sijui kwa nini watu wanamsifia Manyika wakati game nzima haikua na mashambulizi ya hatari.
 
Atakuwa simba UKAWA huyu, Maana bado hawajakaa meza moja na F.O.S kuyamaliza
 
Back
Top Bottom