Shaffih Dauda umezidi uchawa

MalcolM XII

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
5,251
14,233
Nasemajeee!

Napenda kukuambia ndugu Shaffih Dauda, uchawa umezidisha.. utaacha lini?

Alivyotoka Mbwana Samatta, kimbele mbele kikakuanza. Ukawa hukauki kwenda ubelgiji.

Akatoka bwana mdogo Kelvin John "Mbappe" na wewe kama kawaida yako hujiwezi!

Sasa hivi umeamia kwa Novatus Dismas Miroshi..

Bro kwahiyo Mtanzania akishatoboa soka la ulaya wewe ndo uanze kujifanya unasapoti? Kabla hawajatoboa ulikua wapi?

Sasa hivi Mbwana yuko PAOK kwa kuwa anaelekea ukingoni ndo unajifanya umemkataa!

Najua upo humu Jf japo unamtumia kijana wako kupitia ID fake.

Sisi tunaku-zoom tu, hayo sio maisha!

Snapinsta.app_381061762_981250419652509_836333803571964885_n_1080.jpg
 
Nasemajeee!

Napenda kukuambia ndugu Shaffih Dauda, uchawa umezidisha.. utaacha lini?

Alivyotoka Mbwana Samatta, kimbele mbele kikakuanza. Ukawa hukauki kwenda ubelgiji.

Akatoka bwana mdogo Kelvin John "Mbappe" na wewe kama kawaida yako hujiwezi!

Sasa hivi umeamia kwa Novatus Dismas Miroshi..

Bro kwahiyo mtanzania akishatoboa soka la ulaya wewe ndo uanze kujifanya unasapoti? Kabla hawajatoboa ulikua wapi?

Sasa hivi Mbwana yuko PAOK kwa kuwa anaelekea ukingoni ndo unajifanya umemkataa!

Najua upo humu Jf japo unamtumia kijana wako kupitia ID fake.

Sisi tunaku-zoom tu, hayo sio maisha!View attachment 2756081
Mzee wa mbwinde kavamia internet
 
Usichokijua ni kwamba yeye ndo wakala anaewatafutia michongo huko nje kupitia shadaka sports, ni moja ya watu wanapambana kupeleka vijana huko kiufupi ni kwamba wapo chini yake..
Huyu mleta madaa ndio aachee uchawaa ..

Shafii anasaidia sana vijana kutokaa njee ya nchi kwenda kucheza mpira ,,
Shafii anamashindano yakunyanyua vijana wapate fursa za kucheza mpira ktk ligi yetu .na una uwakikaa gan kampotezea Samata na mbappe?

Ttz la Tz mtu afe ndio apate heshima yake ..ila unaweza Kuta huyo nova kufika hapo alipo mchango wa shafii n 60% ...

Anajuaa anachokifanyaa na c CHAWA kama usemavyo
 
hakikaaa ,ajui asilimiaa kadha ya vijana wanaojitafutaa kisokaa huko ulaya wamepitaa mikonon mwa shafii..
Na ndomana nasema hivyo ,na nashindwa kuamini ,je ni shafii amekuja kivingine Ili aone namna Gani tunatambua mchango wake kwenye soka ,basi katukosea kwasababu mtu aina yangu tunajua kilakitu anafanya ,basi katukosea

Lakini ,kama nihuyo Malcom wa mchongo , amatafute shafii ,amfunze KAZI hua zinafanywaje
 
ameelewaa sasaa..

Au kachanganya CHAWA kitenge na shafiii
 
Back
Top Bottom