Shaffih Dauda ajirekebishe

Shaffi yuko sahihi kama mlienda mpirani hebu tuambieni ni mpira gani ambao ulikua ni dhahiri utakua goli manyika akaokoa hakuna hata shuti moja lilopigwa na fowadi yoyote wa yanga acheni hizo

to some extent shafii yupo sahihi, kuna kashuti kamoja alipiga jaja dogo aliokoa kwa mguu ile ilikuwa clear chance kwa mfungaji, hata hivyo dogo anastahili pongezi sana kwani hakuonyesha uoga wowote katika ile mechi na kama hajafanya makeke kama ya sitti mtemvu kwenye umri basi dogo atafanikiwa kwenye soka mbeleni
 
halafu mwambieni kuwa awe anawapa na wenzake nafasi ya kwenda huko nje,kila siku yeye tu,hata kama mkuu wa idara inatakiwa awe anatoa bonus ya hizo safari kwa wenzake pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom