Endasak Masqaroda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,728
- 3,957
Too bad they gotta face unfriendly prices.....ajabu ni kwamba wanajua bei za barabarani si rafiki kwa abiria. We can conclude that they are by proxy happy with the prices, why the cry then?Na kapaja ka kuku ili asionekane mshamba njiani...
Safari imepaniwa mwezi mzima asile kweli?Huwezi kuvumilia mtoto wa kidume usile japo masaa 10 tu.
Niko safrin nafungua Uzi [emoji23][emoji23]Waione hii comment
Naunga mkono hoja,Cate hotel na Msolwa wana chakula kizuri sana,ila ile Cate hotel ni ya mwenye mabasi ya ABC sidhani kama wanaweza kwenda pale...Bora wangesimama pale Cates Hotel, Kwa ile complex sijui inaitwa Dakawa au Msolwa, ina vitu vizuri hata kama bei kubwa.
Hawezi kusimama kwa mshindani wake wa Biashara.
Ila waluguru na Wagogo sasa muiteni Mzee Mremi au Sawaya wa Kilimanjaro truck hiyo barabara atawawekea hoteli na mabasi ya kistaarabu.
Unataka wakapaki kwa mamantilie mkuu?Mnatuleta kwenye migahawa ya ghali sana kwa huduma za chakula, au mnataka turudi kwenye Zama za kusafiri huku tumebeba mikate na soda?
Polee duuh elfu 9 jamani hivi wanajielewa?Niko safrin nafungua Uzi [emoji23][emoji23]
Huo msozi shilingi elf 9k
Dar. .. Arusha
Bus la mwigulu[emoji1787]View attachment 2911079View attachment 2911078View attachment 2911080View attachment 2911081View attachment 2911082View attachment 2911083View attachment 2911084
Acha tabia za kula hovyo, Dar Dodoma eti unakula njiani mwanaume mzima! Ubidhoo unakusumbua ndiyo maana mnalishwa vibudu visivyoivishwa vizuri, nunua ndizimbivu mbili au ndizi choma na soda au juisi, usiguse mishikaki hata ukipewa bure.Mnatuleta kwenye migahawa ya ghali sana kwa huduma za chakula, au mnataka turudi kwenye Zama za kusafiri huku tumebeba mikate na soda?
Nafikir ni wakati muafaka wakae pembeni na kuachia watoto waendeshe biashara kama mabvyo Azim Dewji kamuachia Mohamed DewjiMremi hamna kitu tena. Washindani wamemdhoofisha sana. Hata hoteli yake ya Korogwe imechoka na supermarket yake pale Himo imechoka. Mabasi yanatoka Dar kwenda kaskazini yakiwa yamejaa robo tu. Hadi huruma. Esther wamepeleka ushindani mmoja wa kufa mtu kule. Hata KLM kichwa kinamuuma.
Acha uroho hakuna kuku hapo zaidi ya vibudu.I think ndio wametuleta hapa Leo. Kwa nje si kuna kina mama kibao wanauza ndizi na machungwa? Imebidi ninunue tu ndizi kisukari za buku mbili na maji ya kunywa. Imagine ka robo kuku elfu sita, kuku mwenyewe si kuku sijui njiwa
Tupo pamoja, huwa naogopa sana kushikwa na tumbo la kuendesha.Sili njian hata iweje. Ni mahind tu na karanga
Nikifika ndio naingia sehem nakula
Sasa Dom - Dar zaidi ya cate hotel wapi kuna ughali sanaDom-Dar mkuu
Kwa taarifa yako ndiyo zama salama zaidi kuliko hizi za sasa, nilisafiri na Masister watatu wa RC walikuwa na brown breads zao na juice na youghat zao wakasema vyakula vya kwenye restaurent za wasafiri haviko salama kabisa, walijifunza kuna wenzao yaliwakuta yasiyosimulikaMnatuleta kwenye migahawa ya ghali sana kwa huduma za chakula, au mnataka turudi kwenye Zama za kusafiri huku tumebeba mikate na soda?
Hayo mahindi nilimuona mchomaji Chalinze Nyama Dodoma ana vidonda mkononi Sina hamu nayo.Sili njian hata iweje. Ni mahind tu na karanga
Nikifika ndio naingia sehem nakula
Baada ya traffic police na mahakimu kada nyingine corrupt hapo Morogoro ni hao mabwana na mabibi afyavyakula vya pale morogoro ni vichafu ukila ukiona haujaugua tumbo shukuru Mungu, space ndogo, na sio mbali na chooni, hivi hata mabwana afya huwa hawapaoni pale?
Tafuta hela fukara weweMnatuleta kwenye migahawa ya ghali sana kwa huduma za chakula, au mnataka turudi kwenye Zama za kusafiri huku tumebeba mikate na soda?
Mme wako ni huyo mwamba hapo kwenye dp?Lazma, sasa damu itapandaje maana mashine inasimama kutokana na mishipa kujaa damu.
Unafkir kwanini watu wa kisukari miguu ama vidole vinaoza na kukatwa, si kwasababu damu haizunguki kufika huko?
Kuwa makini , msidharau ushauri wa daktari.
Binafsi namwambia mume wangu kila siku aheshimu sana madaktari.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Sio lazima hyo condition impate mgonjwa wa kisukari...hasa hyo ya miguu kuoza hyo condition humfikia mgonjwa ambaye sukari yake imeshindwa kuwa tolerance..yani pale mgonjwa dawa zimeshindwa kucontrol sukari yake..usiwatishe wenye sukari ambao bado wana afya zao cha msingi wazingatie lishe nzuri na mazoezi.....
Na ushauri wa madaktari ni muhimu sana wauzingatie...
Karibu sana Cate Hotels na ABC Buses.Bora wangesimama pale Cates Hotel, Kwa ile complex sijui inaitwa Dakawa au Msolwa, ina vitu vizuri hata kama bei kubwa.