KERO SGR watu wamechezea network Uwezi Lipia online

KERO SGR watu wamechezea network Uwezi Lipia online

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,329
Reaction score
4,198
I will be short

Iko Hivi ume login , then ukiselect seat . System aikupeleki next .

This means kuna watu wamegeuza business wanauza ticket ukiwapigia . In short Uwezi lipia seat . Maana ufiki Kwenye control number .

Mama Anaupiga mwingi sana . Useless county . Barabara Mbovu . System mbovu .

Hivi kuna kitu kipo sawa in this country!?? 1
 
Naskia deni la taifa eti limefikia 116 trillions...🙄
 
I will be short

Iko Hivi ume login , then ukiselect seat . System aikupeleki next .

This means kuna watu wamegeuza business wanauza ticket ukiwapigia . In short Uwezi lipia seat . Maana ufuki Kwenye control number .

Mama Anaupiga mwingi sana . Useless county . Barabara Mbovu . System mbovu .

Hivi kuna kitu kipo sawa Inchi hii
Kuna kitu unakosea. Jaribu kutumia PC.
 
I will be short

Iko Hivi ume login , then ukiselect seat . System aikupeleki next .

This means kuna watu wamegeuza business wanauza ticket ukiwapigia . In short Uwezi lipia seat . Maana ufuki Kwenye control number .

Mama Anaupiga mwingi sana . Useless county . Barabara Mbovu . System mbovu .

Hivi kuna kitu kipo sawa Inchi hii
Kuna ujinga mwingine nimeshakutana nao, wa kuingiza e-mail address halafu system inakwambia akaunti hii ina mtu tayari..!!! Huyo mtu ndo mimi mwenyewe, lakini inanikatalia kuendelea hadi uweke e-mail nyingine..!! UJINGA MTUPU.
 
Acha wazipige tu mbona wanaiga mfano wa kiongozi wao huko juu. Wakiiba viongozi sawa ila wengine huku chini nongwa. Aah acheni hizo bana
 
Haya malalamiko mbona yapo kwa wepesi namna hii, ongeza nyama
 
Acha wazipige tu mbona wanaiga mfano wa kiongozi wao huko juu. Wakiiba viongozi sawa ila wengine huku chini nongwa. Aah acheni hizo bana
hii ya sgr ina affect watu directly.

sema system imeoza sana. kila kitu kibovu
 
Check na uwezo wa simu Yako.
nimetumia iphone na macbook zote zimegoma, na nimelipa sgr before bila shida

simu gani nitumie nyingine?? ticket zimeisha naona mimi tu siwezi kulipa
 
Back
Top Bottom