Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 5,561
- 7,223
Hii nchi inaendeshwa kihuni huni tu ndugu mtoa mada
nchi ya kingese hii,Hii nchi inaendeshwa kihuni huni tu ndugu mtoa mada
uwezi nunua ticket za sgr online mzee, wewe nenda station utapata ticket
Hakuna namnahii ya sgr ina affect watu directly.
sema system imeoza sana. kila kitu kibovu