PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,156
- 45,456
Ni wabongo Tu pia ni mafundi wa magari na wanauza magariWanao Fanya hiyo challenge ni blacks or wa Asians ?
Ni wabongo Tu pia ni mafundi wa magari na wanauza magariWanao Fanya hiyo challenge ni blacks or wa Asians ?
Hio mwaka jana pia walishindana na SGR?Gari itayotumika ni BMW X3 ,N55 six inline engine, turbocharged yenye eight speed transmission
Mwaka Jana waliandaa Audi SQ5 yenye supercharger kwangu Mimi hii mashine inaweza kabisa kupiga battle na SGR
Wakaanzie pale SGR station waondoke muda sawa kama hawajajikuta Kimara wakati train iko Dodoma.Nafuatilia Sana hii ligi , hawa jamaa wa East cars sio Tu wanandaa drug race pekeyake Hadi mashindano ya barabara za matope pia wanafanya.
Mara ya Kwanza walipanga kutoka muda mmoja na train nahisi waliona wataangukia pua.
Watu wengi wameuliza kuhusu barabara hii yenye foleni ya malori watakuwa wanafanyaje? Kwangu naona hii ligi ni just for fun
Ilishindikana kufanyika ...Hio mwaka jana pia walishindana na SGR?
Mambo yanaenda haraka sanaNi wabongo Tu pia ni mafundi wa magari na wanauza magari
Kwenye barabara ipi kwa mfano?Gari itayotumika ni BMW X3 ,N55 six inline engine, turbocharged yenye eight speed transmission
Mwaka Jana waliandaa Audi SQ5 yenye supercharger kwangu Mimi hii mashine inaweza kabisa kupiga battle na SGR
Mada za weekend huwaga tamu sana.Wadau wa magari mnaendeleaje na ujenzi wa taifa? Kuna wataalam wa magari huko Instagram wameamua kushindana na SGR train. Wao watatumia BMW X3 F25 sijui ina engine gani N20 N47 au N55.
Wamechagua gari nzuri kwa mwendo na usalama kwanza. Ila niliwaona ni vichaa. Maanake SGR train inatumia 4hrs ili ushindane nayo inabidi utumie less than 4hrs kutoka Dar hadi Dodoma ambazo ni 450km. Hapo inabidi upate wastani wa 112kph tunaoendesha tunajua unatakiwa uendeshe mwendo gani ili uweze kupata wastani huu.
Lakini nimewasikia wakisema watatangulia masaa mawili kanla ya train yaani wao wataomdoka Dar saa 0400 wakati train inaondoka saa 0600
Baada ya kusikia hivi nikajua sasa akili imewarudia na kwa maoni yangu hapa hakuna ushindani maanake hata mimi kama naamua kushindana na SGR train nikatangulia masaa mawilk kwenda Dodoma nitawahi kufika kabla ya treni tena na gari ya kawaida kama Toyota Crown 4GR.
Je una maoni gani kuhusu huu mtanange?
Nb: Hii ni ordinary SGR train sio ile mchongoko inayotumia 3hrs.
160km/h hata dakika 10 huwezi. Labda truck na bus zote zipigwe ban siku hiyo.hiyo ni simple arithmetic kama sgr inakwenda 160 km/h hakuna jinsi gari kwa mazingira ya tanzagiza inaweza ku-compete, kwani hauwezi kuendesha 160 km/h in tanzagiza kwa zaidi ya masaa 4 mfululizo, kwanza hata hiyo 100km/h kwa zaidi ya lisaa 1 constantly haiwezekani, hii ni no brainer ...
Subiri tuoneWadau wa magari mnaendeleaje na ujenzi wa taifa? Kuna wataalam wa magari huko Instagram wameamua kushindana na SGR train. Wao watatumia BMW X3 F25 sijui ina engine gani N20 N47 au N55.
Wamechagua gari nzuri kwa mwendo na usalama kwanza. Ila niliwaona ni vichaa. Maanake SGR train inatumia 4hrs ili ushindane nayo inabidi utumie less than 4hrs kutoka Dar hadi Dodoma ambazo ni 450km. Hapo inabidi upate wastani wa 112kph tunaoendesha tunajua unatakiwa uendeshe mwendo gani ili uweze kupata wastani huu.
Lakini nimewasikia wakisema watatangulia masaa mawili kanla ya train yaani wao wataomdoka Dar saa 0400 wakati train inaondoka saa 0600
Baada ya kusikia hivi nikajua sasa akili imewarudia na kwa maoni yangu hapa hakuna ushindani maanake hata mimi kama naamua kushindana na SGR train nikatangulia masaa mawilk kwenda Dodoma nitawahi kufika kabla ya treni tena na gari ya kawaida kama Toyota Crown 4GR.
Je una maoni gani kuhusu huu mtanange?
Nb: Hii ni ordinary SGR train sio ile mchongoko inayotumia 3hrs.
Nadhani hawajalewa shida ilipo. Km 450 inawezekana kwenda masaa 3 lakini swali linaendelea kubaki kwa Barabara zipi za bongo? Labda siku hiyo kila kitu kiwekwe pembeni. Na bado utakutana na tuta hautaweza kupita hata na 100km/ h.Kwenye barabara ipi kwa mfano?
DuuhBara bara zetu naona zina magari mengi na pia ni kutafuta ajali tu kwa maana maeneo karibu na makazi ni 50km/h watu wakitaka kukimbia waende Zambia au Botswana wao wanaruhusu hadi 120km/h kutembea 160 au 180km/h kwa wastani ni mwendo wa kawaida tu maana unakuta mashine inasoma 220 zingine 240 dashboard..pana jamaa wawili mmoja wa Mwarabu wa Mwananyamala na mwingine wa Mwenge wakikupita ukiwa dashboard inasoma 180 unaweza kudhani gari yako imesimama hao wakitoa Johannesburg wanakuja kulala Mpika na wanatumia masaa machache sana hapo Zambia kwenda Jela wakikamatwa kwa mwendokasi na kutokea mahakamani kawaida sana gari zinakimbizwa kama zimeibiwa..
Umeongea vizuriNaona hoja yako ina mantiki. Kama wanatangulia masaa mawili, basi ushindani unabadilika kabisa.
Kwa mfano:
Ordinary SGR: huondoka saa 12:00 asubuhi na kufika takribani baada ya saa 4 (karibu saa 10:00 AM).
BMW: linaondoka saa 4:00 asubuhi.
Hii ina maana gari lina dirisha la saa 6 (kuanzia saa 4:00 hadi saa 10:00) kufika Dodoma kabla ya treni. Kwa umbali wa takribani km 450, wastani unaohitajika ni karibu 75 km/h, ambao unaweza kupatikana kwa kuendesha kwa utulivu, ukizingatia vituo, msongamano, na sheria za barabarani.
Ndiyo maana watu wengi wanaweza kusema kwamba:
Kama lengo ni "kufika kabla ya treni", kuondoka masaa mawili mapema kunafanya changamoto iwe rahisi zaidi.
Kama lengo ni "kuonyesha gari lina kasi kuliko treni", basi kulinganisha kungekuwa na maana zaidi kama vyote vingeondoka kwa wakati mmoja. Hapo ndipo ungehitajika kudumisha wastani wa zaidi ya 110 km/h, jambo ambalo si rahisi na linaweza kuwalazimisha madereva kuendesha kwa kasi zisizo salama katika baadhi ya sehemu za barabara.
Kuhusu BMW X3 F25, toleo hilo linaweza kuwa na injini tofauti kulingana na mwaka na soko:
N20 – petroli 2.0 turbo.
N47 – dizeli 2.0 turbo.
N55 – petroli 3.0 turbo (hutumika kwenye matoleo yenye nguvu zaidi kama X3 xDrive35i).
Hata hivyo, aina ya injini siyo jambo kuu kwenye changamoto ya aina hii. Kinachoamua zaidi ni usalama, sheria za barabarani, hali ya barabara, na muda wa kusimama njiani.
Kwa mtazamo wangu, kama ni maudhui ya burudani na wanazingatia kikamilifu sheria za usalama barabarani, hakuna tatizo. Lakini kama ushindani unawahamasisha watu kuendesha kwa kasi kupita kiasi ili "kuishinda treni", hilo si jambo la busara. Treni ina faida ya kutokukutana na foleni, makutano, au magari mengine, wakati dereva wa gari lazima azingatie sheria na hali halisi ya barabara.
🤣🤣🤣🤣Mimi huko wanaanita kobe ndio natembea 180km/h mguu naweka hapo vijana wanaenda 220 na kuendelea wengine wanamaliza sahani ila wanatoa macho kama fundi saa wakifika Tunduma macho kama wamemwagiwa mchanga..
Wanaokwenda Dodoma kwa masaa manne na gari ni wale wanaosafishiwa njia huku wakitumia LC200 na LC300 ambazo zina hali nzuri sana. Sio magari yenye miaka 10 plus yenye service za kuungaunga.Nadhani hawajalewa shida ilipo. Km 450 inawezekana kwenda masaa 3 lakini swali linaendelea kubaki kwa Barabara zipi za bongo? Labda siku hiyo kila kitu kiwekwe pembeni. Na bado utakutana na tuta hautaweza kupita hata na 100km/ h.
Ila mwana hiyo Bmw X3 siyo mchezo.Wadau wa magari mnaendeleaje na ujenzi wa taifa? Kuna wataalam wa magari huko Instagram wameamua kushindana na SGR train. Wao watatumia BMW X3 F25 sijui ina engine gani N20 N47 au N55.
Wamechagua gari nzuri kwa mwendo na usalama kwanza. Ila niliwaona ni vichaa. Maanake SGR train inatumia 4hrs ili ushindane nayo inabidi utumie less than 4hrs kutoka Dar hadi Dodoma ambazo ni 450km. Hapo inabidi upate wastani wa 112kph tunaoendesha tunajua unatakiwa uendeshe mwendo gani ili uweze kupata wastani huu.
Lakini nimewasikia wakisema watatangulia masaa mawili kanla ya train yaani wao wataomdoka Dar saa 0400 wakati train inaondoka saa 0600
Baada ya kusikia hivi nikajua sasa akili imewarudia na kwa maoni yangu hapa hakuna ushindani maanake hata mimi kama naamua kushindana na SGR train nikatangulia masaa mawilk kwenda Dodoma nitawahi kufika kabla ya treni tena na gari ya kawaida kama Toyota Crown 4GR.
Je una maoni gani kuhusu huu mtanange?
Nb: Hii ni ordinary SGR train sio ile mchongoko inayotumia 3hrs.
Bmw X 3 ya 2025 ina balaa sana hiyo nyama..Ila mwana hiyo Bmw X3 siyo mchezo.
Hiyo 160 km/h itapatikana on average au zaidi. Bmw x3 inakwenda mpaka 260 km/h. Na kufikia 160 km/h kwa Bmw x3 ni kugusa tu ambapo SGR inachukua muda kidogo kufikia hiyo speedhiyo ni simple arithmetic kama sgr inakwenda 160 km/h hakuna jinsi gari kwa mazingira ya tanzagiza inaweza ku-compete, kwani hauwezi kuendesha 160 km/h in tanzagiza kwa zaidi ya masaa 4 mfululizo, kwanza hata hiyo 100km/h kwa zaidi ya lisaa 1 constantly haiwezekani, hii ni no brainer ...
Naijua vizuri sana. Ilichangia kunifilisi. Ikikuwashia taa nyekundu kwenye dashboard kama Christmas tree ndiyo utajua hujui mpaka uje kuzizima. Nilimiliki hiyo ndinga ndani ya miezi saba nikafilisika na kuiuza kwa bei ya hasara. Wanaozijua wengi hawanunui hata bei ushushe kiasi gani.Bmw X 3 ya 2025 ina balaa sana hiyo nyama..