SGR, Tuliahidi - Tunatekeleza, hii ndiyo Tanzania mpya.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
1. WALITULIAHIDI HIVI

IMG_20190507_211546.jpg

2. LAKINI WANATEKELEZA HIKI

IMG_20190507_211602.jpg

3. MATARAJIO YA WENGI YALIKUWA KUONA HIVI

IMG_20190507_211622.jpg

UPDATES: imetokea jana 7/5/2019

bb853a26-85c8-4304-8a98-cc4981905af5.jpg

Maendeleo hayana chama.
 
Usiku Huu Majira Ya Saa Moja Tazara Kwenye Mfugale Flyover Foleni Hadi Juu
Treni Hiyo Ni Mkombozi Kwenye Maendeleo Hayana Chama
 
Hilo jikichwa limeletwa Jana na tayari limeanguka huku maeneo ya Gongolamoboto Maliasili..limeanguka toka Jana na mpaka sasa wameashindwa kuliinua...walikua wanalipeleka pugu stesheni..
Tuombe hilo litereni lisije kuanguka nalo katk safari yake yakwanza..
[/QUOTE]
 
Lini Imetokea
 
[/QUOTE]Bila kapicha kakusindikizia, hii comment yako inakua kama hujaitendea haki
 
[QUOTE="Kennedy, post: 31373744, member:
Lini Imetokea
[/QUOTE]...Jana mchana kweupe mkuu na wameshindwa kulinyanyua mpaka ninavyo type hii text bado bichwa lipo chini..limeangukia ubavu pembeni ya reli inayotoka Pugu stesheni kuja Gerezani
 
Bila kapicha kakusindikizia, hii comment yako inakua kama hujaitendea haki
[/QUOTE]...hii habari niya ukweli sema sisi wengine visimu vyote siyo HDCamera tunashindwa kupiga matukio kama hayo
 
Mbona mnarudia hayo hayo?
Maendeleo hayana chama mbona wanapotea wa upande mmoja tu?

Umefika wakati sasa tuachane na haya matangazo ya maendeleo ya vitu....
Tunahoji, wenzetu wanapotea wapo wapi, salama watarudi wakiwa kama walivyo ondoka?

Tunahoji, uhai wetu na afya zetu sasa tunagharamikia hizi gari moshi?.
 
[QUOTE="Kennedy, post: 31373744, member:
Lini Imetokea
...Jana mchana kweupe mkuu na wameshindwa kulinyanyua mpaka ninavyo type hii text bado bichwa lipo chini..limeangukia ubavu pembeni ya reli inayotoka Pugu stesheni kuja Gerezani
[/QUOTE]
Huna Uzalendo
Hutakiwi Kusema 😁
 
Back
Top Bottom