SGR, Tuliahidi - Tunatekeleza, hii ndiyo Tanzania mpya.

Astaghafilullah !
Mkuu tayari hata pugu hakijafika.

bb853a26-85c8-4304-8a98-cc4981905af5.jpg
 
Why are you so negative. Hivi watanzania mmekuwa washamba na uncivilized kiasi cha kuwa kwanza mwanachadema kabla ya mtanzania. Ni ugonjwa. Nashangaa kama mpka sasa hamjagundua hii kansa.
Kwaio mtu akisema kitu unachohisi ni negative unaona ni chadema..kweli wewe ni jinga la mwisho
 
Kwa hiyo wamekiangusha makusudi kukitest.
Majaribio ni pamoja na kuligaragaza chini ili kujua likianguka inakuaje na likigaragara inakuaje. Tupo kwenye lait traki haijawahi kutokea tangu reli ya njerumani ujengwe. Tulieni
 
Back
Top Bottom