Palestine Will be free
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,990
- 6,617
Wa Zanzibar walituletea mtu tanganyika akaleta uzuni kwenye familia nyingi. Hatuwaamini tena.
Na mkapa je aliwafanya nini wazanzibari?? Huwa mnajitoa ufahamu sio???
Mkuu wellcome back,Zoweeni,hao no watanzania pia
Naomba kazi MkuuKwahiyo ulitakaje? Kwenye ofisi yangu nimejaza wakristo lakini wengi wao ni majizi tu. Kuna makampuni ya wakristo sehemu nyeti wanawaweka Waislamu hivi hujiulizi tu why!!
Umeanza lini huo mfungo?Mfungo sijui itakuaje
Hao hao majizi ndio wanaokuingizia faida kubwa sababu wanatumia akili kubwa ndio maana umewakubari hata km wanakuibia huwafukuzi unajua ukijaza madufu utavuna madufuKwahiyo ulitakaje? Kwenye ofisi yangu nimejaza wakristo lakini wengi wao ni majizi tu.
Mlizoeshwa na yule mpumbavu nyerere kuwa kila kazi ziwe za wagalatia kwa kuanzia na kuminya watoto wetu mashuleni kwenye mitihani, na kweli ilikuwa kila ofisi ni mgalatia, sana kibao kimegeuka baada ya janja ya nyani kushtukiwa, lakinin bado unamatumaini katafute kazi Bukoba, Kilimanjaro na Mbeya watakukupa kwa kuwa ni mgalatia mwenzaoAisee pamejaa jamaa zetu kama wote(kuanzia ukaguzi, tiketi na wahudumu) kasoro zile kazi za kutumia akili na Nguvu ndo huwakuti. Eeh Mola tunusuru waja wasitudhuru
Wagalatia wote wahamishwe nchi bora tubaki kobazi peke yetu, wanatuibia sana.Nyie wagalatia ni wezi na mafisadi.
Would you please explain,👆🏾 hapa masela hawa wanafanya nini?
Yeah.Si issue, kama ni wa Tanganyika.
Tatizo kule taifa la Zanzibar haiwezekani Mtanganyika kupata opportunities kama Mzanzibari anazopata bara, mimi hata wajazwe wa dini yoyote au kabila lolote la Tanganyika kama nafasi zilipambaniwa with transparency I don't mind.Hata kama ni wazanzibar kuna shida gani! Mbona mnakua wabaguzi hivyo! Waarabu wabaya, wazanzibari wabaya, Uislamu mnaupiga vita. Ila wazungu na mayahudi ndio watu wazuri hahaaa aise
Nao wana haki ya kumsema na kumkataa kama tunavyomkataa huyo bibi serial killer mumiani mnyonya damu za Watanganyika.Na mkapa je aliwafanya nini wazanzibari?? Huwa mnajitoa ufahamu sio???
Nyerere alitaifisha shule zote za makanisa ili kobazi waliokuwa wanakataa kupeleka watoto shule wawapele pasina hivyo mpaka leo jiamii ya kobazi ingekuwa na watu wachache sana(bado ni wachache by comparison) waliosoma, colonial era 'ilmu dunyaa' iliyolewa zaidi na makanisa na the other side ilikuwa ni 'ilmu akhera' tu nothing more and nothing less.Mlizoeshwa na yule mpumbavu nyerere kuwa kila kazi ziwe za wagalatia kwa kuanzia na kuminya watoto wetu mashuleni kwenye mitihani, na kweli ilikuwa kila ofisi ni mgalatia, sana kibao kimegeuka baada ya janja ya nyani kushtukiwa, lakinin bado unamatumaini katafute kazi Bukoba, Kilimanjaro na Mbeya watakukupa kwa kuwa ni mgalatia mwenzao