SGR kwenda Rwanda kuna Busara?

SGR kwenda Rwanda kuna Busara?

Hapana...Engineer mkuu Magufuli alitupilia mbali feasibility study akaamua kutumia detailed design and construction akaja na jibu. Hakuna kama Engineer John Pombe Magufuli. Sisi wengine ni vilaza wakubwa!
Design and construct iko exempted sheria ya manunuzi?
Naziona kesi nyingi sana siku za usoni Magu akitoka
 
Rwanda is overrated Sana.
Everything is built around one person. Nothing will work in his absence. That is how NOT to develop a country. Sasa hivi wana ugomvi mkubwa na World Bank kuhusu takwimu zao hewa za uchumi. Things are not adding up.
Rwanda wame invest kwenye public relations sana ndiyo maana media mpaka za kimataifa zimejaa sifa za uwongo. PK alimpa former PM wa England, Tony Blair kandarasi ya Public Relations mwaka 2009 baada ya Blair kumalizia term yake. Haya ndiyo matokeo.
 
Kwani huko nchini Rwanda hawakai Binadamu / Watu ambao wanahitaji Huduma? Hivi Watanzania nchi ya Rwanda, Wanyarwanda na Rais wa Rwanda wamewakoseeni nini? Hivi Rwanda ndiyo imewafanya muwe Wavivu, Lege Lege, Goi Goi, Dhaifu Dhaifu na Watu mnaochelewa Kutwa kupiga hatua Madhubuti za Kimaendelo huku mkiwekeza mno katika Majungu, Chuki, Wivu na Uswahili wenu badala ya Kujikita kuangalia kwanini kwa muda mfupi tu huu Rwanda chini ya Rais Paul Kagame inawaacheni Kimaendeleo na hata Wananchi ( Raia ) wake wanazidi kuwa na ' Fikra ' pana kuliko wengi wenu ( japo wapo baadhi wenye Akili kubwa kama za Wanyarwanda ) ila ni wa kuwatafuta sana tena kwa Tochi?
Si kweli,maghorofa sio maendeleo
 
Rwanda wame invest kwenye public relations sana ndiyo maana media mpaka za kimataifa zimejaa sifa za uwongo. PK alimpa former PM wa England, Tony Blair kandarasi ya Public Relations mwaka 2009 baada ya Blair kumalizia term yake. Haya ndiyo matokeo.
Tony Blair, the greatest spin doctor
 
Kwa nini tusiboreshe TAZARA kufikia kiwango cha SGR? TAZARA inasafirisha tani 187,558 tu wakati ina "potential" ya mamilioni ya tani. Mwaka 2018, Zambia walizalisha copper kiasi cha tani 861,946 (2017 tani 799,329) - halafu tunajua Zambia hawana viwanda vya kuchakata copper. Copper yote inaenda China na nchi nyingine. Je, matani yote haya yalipitia wapi? Je, si kesho kutwa tu Zambia watafikia tani milion moja, moja na nusu, mbili na kuendelea? Je, hatutaki hiyo biashara ya kusafirisha tu? The 2018 copper production hits 861,946 tonnes - Zambia Chamber of Mines

Hapo sijagusa DR Congo!
Swali la msingi sana hili, sijui kama MATAGA walikujibu
 
Turudi hapa tena
 
Hata kwenda Mwanza kabla ya Kigoma itakuwa upumbavu mkubwa. Faida ya relieved ipo kwenye mizigo sio abiria.
Kuna ujazo mkubwa wa mizigo kwenda DRC kuliko Uganda.
Maadam akili zimeturudi, ianzie Kigoma
 
Wanajukwaa,

Nimepitia takwimu kutoka the National Bureau of Statistics (NBS) na Tanzania Ports Authority (TPA) kuhusu mizigo / shehena yanayopitia bandari za Tanzania kwenda au kutoka nchi za jirani.

Kwa mwaka 2017/18, jumla ya tani 5.6 million zilipitia Tanzania (bandari ya Dar es Salaam pekee) kwenda au kutoka nchi za jirani, ikilinganishwa na tani 4.8 million mwaka 2016/17. Hili ni ongezeko la asilimia 17.1 na ni habari njema kabisa kwa TPA na nchi yetu kwa ujumla.

Ukiangalia mchanganuo wa shehena zinazoenda au kutoka nchi za jirani, asilima 61.1% ni za Zambia (36.6%) na J.D. Kongo (24.4%). Hii ni zaidi ya tani 3.4 million ambazo kwa asilimia kubwa zinawafikia jirani zetu kupitia barabara zetu hapa Tanzania. Ukipitia takwimu za 2017/18, TAZARA imefanikiwa kusafirisha mizigo ya tani 187,558 tu (3.4% ya 5.6 million) kwa njia ya reli.

Shehena za Rwanda ni asilimia 16.5% pekee (au tani 922,134) kwa mwaka wa 2017/18. Ukilinganisha na 2016/17, kuna upungufu wa 9.0% - kitu ambacho kinaashiria kuwa mizigo ya Rwanda inawezekana kuwa inapitia Kenya na Uganda.

Kwa kutumia akili za kawaida (common sense), kuna haja ya kuwekeza reli ya SGR kuunganisha Tanzania na Zambia na J.D. Kongo kwa sababu business case (volume of cargo) ni kubwa mno (kwa mara 3.7) kuliko Rwanda. Pia, tukiweza kuondoa hata tani 2 million barabani, TANROADS watapumua kidogo na matengenezo ya kila mara yanayotokana na uharibifu wa baraba zetu. Hii ni kwa mujibu ya data za NBS na TPA wenyewe.

Naomba mwenye taarifa kuhusu ya haya maamuzi ya kupeleka SGR Rwanda atujulishe zaidi.

Nawasilisha.
Ili mradi tu ipite chato.
 
Mwendazake alitaka ifike Rwanda, kama vipi tunaweza kuweka u-turn kwani ataibuka? tunataka Congo ambako ndipo kwenye maslahi zaidi.
 
Kwa nini tusiboreshe TAZARA kufikia kiwango cha SGR? TAZARA inasafirisha tani 187,558 tu wakati ina "potential" ya mamilioni ya tani. Mwaka 2018, Zambia walizalisha copper kiasi cha tani 861,946 (2017 tani 799,329) - halafu tunajua Zambia hawana viwanda vya kuchakata copper. Copper yote inaenda China na nchi nyingine. Je, matani yote haya yalipitia wapi? Je, si kesho kutwa tu Zambia watafikia tani milion moja, moja na nusu, mbili na kuendelea? Je, hatutaki hiyo biashara ya kusafirisha tu? The 2018 copper production hits 861,946 tonnes - Zambia Chamber of Mines

Hapo sijagusa DR Congo!
wazo zuri tena ukizingatia tunajenga smelter - hiyo copper yate inaweza kuchakatiwa Kahama.
 
Wanajukwaa,

Nimepitia takwimu kutoka the National Bureau of Statistics (NBS) na Tanzania Ports Authority (TPA) kuhusu mizigo / shehena yanayopitia bandari za Tanzania kwenda au kutoka nchi za jirani.

Kwa mwaka 2017/18, jumla ya tani 5.6 million zilipitia Tanzania (bandari ya Dar es Salaam pekee) kwenda au kutoka nchi za jirani, ikilinganishwa na tani 4.8 million mwaka 2016/17. Hili ni ongezeko la asilimia 17.1 na ni habari njema kabisa kwa TPA na nchi yetu kwa ujumla.

Ukiangalia mchanganuo wa shehena zinazoenda au kutoka nchi za jirani, asilima 61.1% ni za Zambia (36.6%) na J.D. Kongo (24.4%). Hii ni zaidi ya tani 3.4 million ambazo kwa asilimia kubwa zinawafikia jirani zetu kupitia barabara zetu hapa Tanzania. Ukipitia takwimu za 2017/18, TAZARA imefanikiwa kusafirisha mizigo ya tani 187,558 tu (3.4% ya 5.6 million) kwa njia ya reli.

Shehena za Rwanda ni asilimia 16.5% pekee (au tani 922,134) kwa mwaka wa 2017/18. Ukilinganisha na 2016/17, kuna upungufu wa 9.0% - kitu ambacho kinaashiria kuwa mizigo ya Rwanda inawezekana kuwa inapitia Kenya na Uganda.

Kwa kutumia akili za kawaida (common sense), kuna haja ya kuwekeza reli ya SGR kuunganisha Tanzania na Zambia na J.D. Kongo kwa sababu business case (volume of cargo) ni kubwa mno (kwa mara 3.7) kuliko Rwanda. Pia, tukiweza kuondoa hata tani 2 million barabani, TANROADS watapumua kidogo na matengenezo ya kila mara yanayotokana na uharibifu wa baraba zetu. Hii ni kwa mujibu ya data za NBS na TPA wenyewe.

Naomba mwenye taarifa kuhusu ya haya maamuzi ya kupeleka SGR Rwanda atujulishe zaidi.

Nawasilisha.

Hata kwenda rwanda kuona warembo inatosha tu.....,sGR mpaka Rwanda.....Mitano tena.
 
Kwakuwa Rwanda ipo karibu na Chato. SGR inapelekwa kwanza huko ili angalau ipite karibu na Chato ambayo ilikusudiwa baadaye uwe mkoa.

Kulingana na mapato ya kiuchumi SGR ilitakiwa iende kwanza Kigoma kwa ajili ya mizigo ya Dr Congo na Burundi na baadaye iende huko Mwanza nk,
 
Wanajukwaa,

Nimepitia takwimu kutoka the National Bureau of Statistics (NBS) na Tanzania Ports Authority (TPA) kuhusu mizigo / shehena yanayopitia bandari za Tanzania kwenda au kutoka nchi za jirani.

Kwa mwaka 2017/18, jumla ya tani 5.6 million zilipitia Tanzania (bandari ya Dar es Salaam pekee) kwenda au kutoka nchi za jirani, ikilinganishwa na tani 4.8 million mwaka 2016/17. Hili ni ongezeko la asilimia 17.1 na ni habari njema kabisa kwa TPA na nchi yetu kwa ujumla.

Ukiangalia mchanganuo wa shehena zinazoenda au kutoka nchi za jirani, asilima 61.1% ni za Zambia (36.6%) na J.D. Kongo (24.4%). Hii ni zaidi ya tani 3.4 million ambazo kwa asilimia kubwa zinawafikia jirani zetu kupitia barabara zetu hapa Tanzania. Ukipitia takwimu za 2017/18, TAZARA imefanikiwa kusafirisha mizigo ya tani 187,558 tu (3.4% ya 5.6 million) kwa njia ya reli.

Shehena za Rwanda ni asilimia 16.5% pekee (au tani 922,134) kwa mwaka wa 2017/18. Ukilinganisha na 2016/17, kuna upungufu wa 9.0% - kitu ambacho kinaashiria kuwa mizigo ya Rwanda inawezekana kuwa inapitia Kenya na Uganda.

Kwa kutumia akili za kawaida (common sense), kuna haja ya kuwekeza reli ya SGR kuunganisha Tanzania na Zambia na J.D. Kongo kwa sababu business case (volume of cargo) ni kubwa mno (kwa mara 3.7) kuliko Rwanda. Pia, tukiweza kuondoa hata tani 2 million barabani, TANROADS watapumua kidogo na matengenezo ya kila mara yanayotokana na uharibifu wa baraba zetu. Hii ni kwa mujibu ya data za NBS na TPA wenyewe.

Naomba mwenye taarifa kuhusu ya haya maamuzi ya kupeleka SGR Rwanda atujulishe zaidi.

Nawasilisha.
Mwanangu hapa una hoja ya nguvu. Kinachotuponza saa nyingine ni kufanya maamuzi ya kisiasa katika uchumi jambo ambalo limekwamisha Afrika miaka nenda rudi.
 
Wewe sio mfanyabiasha ni mbwiga fulani, kanjanja mpiga debe wa jiwe tu.
Meta Mada utakuwa ki desk officer kijinga kijinga cha serikali au kibaraka cha Zitto Kabwe. Wafanyabiashara wa Tanzania tunataka hiyo reli ya route ya Rwanda. Kuna fursa kibao kwa wafanyabiashara wa Tanzania kubwa mno
 
Wewe umeangalia shehena kuelekea Rwanda, Burundi Uganda, DRC ni ndogo umetumia akili yako vizuri kujiuliza kwanini ni ndogo?

Sasa kuna watu wametumia akili zao vizuri kujiuliza kwanini ni ndogo na wakapata jibu kwamba shehena ya kutosha ipo lakini inaenda Kenya sababu a, b, c ndio maana wamekuja na solution ya SGR

Ulitaka wajenge kuelekea Zambia wakati TAZARA ipo? Huwezi linganisha rail ya TAZARA na Central corridor railway, hii ya Central ni takataka
Bado Rwanda ni ka nchi kadogo sana na mahusiano yetu hayajakuwa mazuri kihivyo hata hivi tunabyoongea hatukuwaona kuwa nasi kipindi hiki. JD Kongo au Zambia zinge make sense zaidi
 
Msuya alijenga barabara la lami hadi kwao. Mbatia naye,vivo hivyo. Kujenga barabara ya kwenda kwenu si mbaya hata Kama ni hasara kwa taifa. Jamaa nae akaona KWAO pasiwe pa hovyo. Akaamua kujenga reli ya kwenda NYUMBANI KWAO.
 
Niwakati muafaka ifumuliwe na kuelekea kigoma
 
Back
Top Bottom