SGR INAHUJUMIWA......

SGR INAHUJUMIWA......

Wanabodi habari.....

Tumekua tukilalamika sana lakini hatusikilizwi juu ya upataji wa tiket za SGR... mfano mzuri ni lalamiko la Afande na ASKOFU Fulani hivi... toka jana najaribu kukata tiketi toka dom kwenda dar naambiwa tiket hakuna hadi jumatatu lakini kwa wakati huu huu naambiwa niingie mlango wa nyuma nitapata tiketi na kweli nimepata tiketi kwa bei mara mbili ya kawaida😭😭😭( huo mlango wa nyuma uko rasmi?? Au ni uhujumu?..)

Watu wanaopanda wanakwambia muda mwingi kuna siti zknakuwa wazi mwanzo hadi mwisho wa safari na wakati huo huo wanasema chuma imejaa?? Sasa najiuliza kama abiria wamekua wengi kwa nini wasiongeze idadi ya safari?? Kuna tatizo gani kuwa na treni inayotoka kila baada ya saa 1..?? Mbona nchi za wenzetu ni hivyo.... Tutafika kweli?n
Ni mambo mawili tu yanayotumaliza au kutufikisha apa tulipo...ni Umasikini na Ujinga.
Hivyo vitu viwili vikiondoka au kupunguza Kwa kiasi fulani basi tumekomboka....Sasa mbaya zaidi hivi vitu viwili vinategemeana...Sasa unapaswa kuja uanze na kupambana na kipi kwanza umasikini, au ujinga.
Sasa mapambano ya kila factor Kwa mfano ujinga...mifumo ya kuitawala nayo haitaki kutoa unafuu wa ujinga kuisha angali wakijua kuwa ujinga ukipungua mtaji wao hutaisha.
Sasa apo ndipo kikwazo cha mapambano dhidi ya Umasikini uanzia.
Sgr ni mtaji na biashara za mifuko ya watu...
 
Back
Top Bottom