sexual tension ni nini?
Afu naweza kujibu
Wataalamu huwa wanashauri njia bora
ya kuepusha balaa kunapokuwa na sexual tension kati ya watu wawili
ni ku avoid kukutana....sasa najiuliza what if huwezi
kuepuka kuonana na mtu huyo,
na tayari kuna sexual tensions kati yenu zimejitokeza
suppose huyo mtu ni boss wako ofisini
au ni shemeji yako mnaishi nyumba moja
au office mate au classmate au mwalimu
na huwezi go on kutekeleza kiu yako ,for some reason huyu hutaweza
hata kama utataka kutii kiu yako
what the best way ya kuishinda sexual tension for two grown ups?
sexual tension ni kumtamani mtu na yule unaemtamani anajua
na yeye probably anakutamani ingawa kikawaida hampaswi au hamuwezi kutekeleza kiu zenu
Hakuna njia, you just have to bite the bullet na kuamua kuweka wazi ili mjaribu kusaidiana nama ya kuzuia lisitokee, sometimes inabidi mfanye tu kama yamewashinda ila hapo sasa unakua umefeli lengo zima la kuiweka sexual tension kama tatizo
ninaamini kabisa unaweza kuishinda ukiiweka wazi na kutahadharishana ili muepuke vichocheo vyake
Umewahi kupanda lift na mwanaume ambae unajua
anakutamani but hajawahi kukutongoza?
na anakuwa anaongea maneno ya kawaida tu
lakini kunakuwa na hali fulani between you?
hiyo ndo sexual tension pia..
Binafsi nadhani njia mojawapo ya kuishinda tamaa ni kupuuzia kila aina ya mitego yenye kuleta ushawishi wa kuikuza zaidi hiyo tamaa...
Hatuwezi kuacha kutamani kwani ni "involuntary act", lakini tunaweza kuyapuuzia matokeo ya tamaa kwani ni "voluntary acts"...
Now I get you
Kama ni kazini, inabidi uact kikazi zaidi
Na kupunguza kuwa karibu bila sababu za msingi
Mfano kama ni Mwalimu na mwanafunzi, ni kuepuka kukutana nje ya darasani
Haya nsio mazingira hupelekea kutokea yaliyompata miss strong
Kunakuwa na tension afu huchukui hatua
The Boss unataka kusema ukimtamani house girl wako na yeye akakutamani ni lazima ulale naye.... jibu unalo?
Kwa miaka ya leo ni ngumu sana aise, tukutane wote kila mtu ana moto na mwenzie halafu tusifanye sijui.
mimi naweza kumtamani mtu .namuwaza naimagine tupo pamoja yaani navusha navusha navusha ila nikimuona live...najuta nakuwa hata simpendi tena...sexual tension ni kumtamani mtu na yule unaemtamani anajua
na yeye probably anakutamani ingawa kikawaida hampaswi au hamuwezi kutekeleza kiu zenu
kumkwepa mtu ambaye mnahisia za mapenzi haisaidii kwasababu iko siku nature itawaweka kwenye mazingira ambayo mtakuwa wenyewe na hapo mtabambana tuu.
Uwazi na ukweli ndo mpango mzima, kama intimacy mwenzio ni muelewa basi unamwambia kuwa lets not accept any privacy alone in any way and at any cost pia kama si muelewa basi ni wewe kuwa sirias tuu na humuangalii usoni mwisho salamu hata mkono si lazima kupeana, ila utaweza kufanya hivi iwapo KWELI unataka na UNANIA ya KUISHINDA hiyo sexual tension, ila kama ikiwa sitaki nataka hauchukui round day one utampiga kibao cha ----, day two utamtekenya mkiwa mnapishana kwenye korido, day three mtakiss............ and next you know what will happen
The pen is urs whether to write or to draw