Sexual Exposure Chart ... Eye-opening

Sexual Exposure Chart ... Eye-opening

HoneyBee

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
912
Reaction score
864
sexualexpchart.jpg



http://www.chastity.com/images/sexualexpchart.jpg
 

Attachments

  • sexualexpchart.jpg
    sexualexpchart.jpg
    61.6 KB · Views: 158
Mtandao; tuko wangapi????

Swali gumu sana hilo Kaunga .
inatisha na kusikitisha.

utafiti kama huu majibu ni ngumu sana kupata
dahhhhh wala hata sitaki kujua jamaa alikuwa na
wangapi kabla yangu . nikujitafuta mawazo yasiyo na tija.
 
Wakati mwingine ni kuishi kwa kujifariji tu...wengine huwa wanasema 'once a prostitute always a prostitute..i guess ni muhimu kujua pia ka'diary' kwa mwenzio!!

Swali gumu sana hilo Kaunga .
inatisha na kusikitisha.

utafiti kama huu majibu ni ngumu sana kupata
dahhhhh wala hata sitaki kujua jamaa alikuwa na
wangapi kabla yangu
. nikujitafuta mawazo yasiyo na tija.
 
kuna mmoja alisema yeye akiwajaza kwenye bus la abood wanajaaa dah kaazi kweli kwel
 
Tena hapa ni kwa wale wasiofanya saana sex...

Makungwi wa 35 yrs hivi, indirectly anakuwa kafanya sex na 10,000,000 people....

Maana in a week kala minimum 2 new women...
 
inasikitisha kuona tunajua haya na tunaendelea,kazi kwelikweli
 
so safe to say kuwa utamu unatisha lol. sasa sijui tuache kugegedana au ndio tukubali yote yatakayotokea.
 
mshaenda kuogelea na your son lakini!!!!

That was yesterday, it was lots of fun hadi akasahau kiatu kimoja. Leo weather imekaa kikutafuta mtoto mwingine! Too bad mwenye sperms hayupo!
 
That was yesterday, it was lots of fun hadi akasahau kiatu kimoja. Leo weather imekaa kikutafuta mtoto mwingine! Too bad mwenye sperms hayupo!
ha ha ha ha!!! Kaunga bwana,pole but you can still check with your neighbour can donate his sperms!!!!au unaogopa haka kakipimo ka DNA
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha!!! Kaunga bwana,pole but you can still check with your neighbour can donate his sperms!!!!au unaogopa haka kakipimo ka DNA

Swali la tafakari "TUTAKUWA WANGAPI"?
 
Last edited by a moderator:
Kazi ipo tena kubwa tu!
Wengine tumezoea kukaa hata mwaka bila hiyo makitu!
 
Duh...imenikumbusha zile hesabu za "permutations" (n!) and "combinations" ([SUP]n[/SUP]C[SUB]r [/SUB]). Hii mambo ni kumwomba Mungu tu! Tu wadhaifu na majaribu pia ni lukuki.😱hwell:
 
Back
Top Bottom