Sijui kwa wengin but mimi naamini kama mmenuniana alafu muka engage katika hilo tendo... ina maana yameisha kabisa... ndo maana wanandoa wanashauriwa wawe na vitanda vidogo acha hii maneno ya 6/6
Sijui kwa wengin but mimi naamini kama mmenuniana alafu muka engage katika hilo tendo... ina maana yameisha kabisa... ndo maana wanandoa wanashauriwa wawe na vitanda vidogo acha hii maneno ya 6/6
Hahahahahahah ndo maana jamaa yangu ana kitanda 2.5x4 full mgusano
hahahahhaa umenichekesha sana... 6x6 ni noumer kuna jamaa baada ya kugombana na mkewe, mke akaweka mpaka wa mitete katikati ya kitanda ili wakilala hakuna kuvuka mpaka. jamaa alikuwa mdogo kama pilton. siku ya pili aliomba yaishe.