Runner
Member
- Feb 7, 2011
- 85
- 13
Habari,naomba kupata ufafanuzi juu ya hili jambo,katika mahusiano ya kimapenzi ikatokea kukawa na kutoelewana kwa jambo fulani baina ya wapendanao (wana ndoa nk),je sex ni njia mojawapo ya kuondoa ile misunderstanding?.....Je hali ya kutokuelewana itatoweka baada ya kufanya sex?.Katika kuchunguza kwangu mara nyingi nimeona waliogombana baada ya kupatana huwa wana-sex,thats why nikauliza swali hili.Naomba ufafanuzi