Sex ni suluhisho la ugomvi (misunderstanding)?

Runner

Member
Feb 7, 2011
85
13
Habari,naomba kupata ufafanuzi juu ya hili jambo,katika mahusiano ya kimapenzi ikatokea kukawa na kutoelewana kwa jambo fulani baina ya wapendanao (wana ndoa nk),je sex ni njia mojawapo ya kuondoa ile misunderstanding?.....Je hali ya kutokuelewana itatoweka baada ya kufanya sex?.Katika kuchunguza kwangu mara nyingi nimeona waliogombana baada ya kupatana huwa wana-sex,thats why nikauliza swali hili.Naomba ufafanuzi
 
Watu hufanya hivyo ingawa ni njia mbaya zaidi, I would recommend kuzungumza na kufikia muafaka, kwa uwazi zaidi na mnapozungumza matatizo yenu msiweke upendo wenu mbali (pembeni);

kutumia sex as solution, inaharibu bse haitoi solutions
 
Wajemeni, hata kwa akili ya kawaida Nkosi na ..Mghoshingwa mnaonaje?
 
Sijui kwa wengin but mimi naamini kama mmenuniana alafu muka engage katika hilo tendo... ina maana yameisha kabisa... ndo maana wanandoa wanashauriwa wawe na vitanda vidogo acha hii maneno ya 6/6
 
Ni asilimia 50% inaweza ikawa soln. lakini kama mmoja amechukia na hataki kumuona mwenzio sitegemei kama itakuwa soln, na haipendezi watu kufanya jambo hilo huku mmenuniana, halitakuwa soln tena bali kuongeza maumivu na machungu.
 
Kwani hamwezi patana na hilo jambo lisifanyike kwa wakati huo?
 
Habari,naomba kupata ufafanuzi juu ya hili jambo,katika mahusiano ya kimapenzi ikatokea kukawa na kutoelewana kwa jambo fulani baina ya wapendanao (wana ndoa nk),je sex ni njia mojawapo ya kuondoa ile misunderstanding?.....Je hali ya kutokuelewana itatoweka baada ya kufanya sex?.Katika kuchunguza kwangu mara nyingi nimeona waliogombana baada ya kupatana huwa wana-sex,thats why nikauliza swali hili.Naomba ufafanuzi

baada ya kupatana ni kweli ila kabla ya kupatana sio suluhisho
 
mi naona poa2, maaana wanasaikolojia wamedhibitisha kuwa sex inaondoa msongo wa mawazo kwa asilimia 65.
 
Mmoja kati ya niliokutana nao yeye aliniambia wazi kuwa hawongei na mkewe,akasema cha kufanya ikifika home ni kumpeleka kitandani,nikasha sex nae tu habari imekwisha atarudi mwenyewe hali ya kawaida....na kweli hali ilirudi kuwa ya kawaida.
 
Sijui kwa wengin but mimi naamini kama mmenuniana alafu muka engage katika hilo tendo... ina maana yameisha kabisa... ndo maana wanandoa wanashauriwa wawe na vitanda vidogo acha hii maneno ya 6/6

Hahahahahahah ndo maana jamaa yangu ana kitanda 2.5x4 full mgusano
 
Sijui kwa wengin but mimi naamini kama mmenuniana alafu muka engage katika hilo tendo... ina maana yameisha kabisa... ndo maana wanandoa wanashauriwa wawe na vitanda vidogo acha hii maneno ya 6/6

hahahahhaa umenichekesha sana... 6x6 ni noumer kuna jamaa baada ya kugombana na mkewe, mke akaweka mpaka wa mitete katikati ya kitanda ili wakilala hakuna kuvuka mpaka. jamaa alikuwa mdogo kama pilton. siku ya pili aliomba yaishe.
 
nakumbuka the other time tulichuniana na wife kama siku ya nne kiu ilinikaba nikamvua kimya kimya(kumbe nae alikua anasubiria) nikaendelea kujisevia cha kushangaa nilipata ushirikiano 100% kumaliza nilishangaa hakuna aliyekuwa na kumbukumbu sahihi za ugomvi wetu!
 
Hahahahahahah ndo maana jamaa yangu ana kitanda 2.5x4 full mgusano

hahahahhaa umenichekesha sana... 6x6 ni noumer kuna jamaa baada ya kugombana na mkewe, mke akaweka mpaka wa mitete katikati ya kitanda ili wakilala hakuna kuvuka mpaka. jamaa alikuwa mdogo kama pilton. siku ya pili aliomba yaishe.

Naona Wakuu mnakubaliana na mimi....lol... ila saa ingine mtu anakua na hasira mpaka anahama chumba....
 
Mtakuwa,mnabakana best..sex lazima wote muwe safiii we umekutwa na condom ukachuniwa usiku ukurupuke kumuingiziaa kirahisi lo ningekuwa mie naikata kabisa tukose wote so usiingie kwenye hiyo fomula mpwa hutokaa na mke hata sikumoja
 
katika mazingira ya hasira na maudhi sex haiwezekani na kamwe haiwezr kuleta kuelewana. Nijuavyo mimi, baada ya suluhu mkifanya sex, inasaidia kuimarisha muafaka uliokwisha fikiwa. That's all!
 
Sure, nimewahi post thread moja homu ilikuwa na title ya Dawa ya mwanamke aliyekasilika.
suala hili lilinikuta mimi na mke wangu nilikuwa nimemkosea tulipoenda kulala nikawa nambeleleza hataki kunielewa
kutoelewana kulidumu kwa muda wa siku tatu lakini siku moja nikamwomba tufanye kwani nimezidiwa
akakataa niliendelea kumbembeleza huku nikimchezea baadae alikubali na kweli baada ya kufanya ugomvi uliisha.
nikaamua kuuliza mabinti ambao tunafanya nao kazi kati ya wasichana saba ni mmoja tu alisema haija mtokea na wavulana wawili walisema ni sawa tosha ila kazi ni kum-mbeleza ili akupe penzi ile hali amekasilika
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom