fact only
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 975
- 1,356
Habari wana JF it's another beautiful day.
Thread hii ipo kukumbusha ewe mwanaume & mwanamke mwajiriwa (Polisi, Mwalimu, Dactari, Mbunge, Waziri, Mwanajeshi, Banker, Mwasibu, Meneja wa taasisi/kampuni yoyote ile, balozi, Barmaid, Barmen, Diwani, Dereva, askari barabarani n.k) kuwekeza kabla haijawa too late.
Nikianza na MWANAUME uliye ajiriwa 👇.
Ewe wanaume mwajiriwa nakukumbusha kuwekeza kwani.
Siku ukikosa kazi na haujawekeza hiyo mbususu ya mkeo, mpenzi au mchepuko wako italiwa na yeyote yule mwenye pesa na hakuna kitu utafanya zaidi ya maumivu makali hivyo nakukumbusha wekeza sasa.
Ewe mwanaume mwajiriwa nakukumbusha kuwa Kuna siku utaondolewa kwenye makazi/nyumba ya serikali/kampuni unayo ishi kwasasa, Kuna kustaafu, Kuna mabadiliko kiutawala, mfano sasa Trump kaja na mabadiliko wapo watu wengi sana wamepoteza ajira, Kuna mabadiliko kiafya mfano ajali, uzazi, moyo n.k, Kuna mabadiliko/majanga kidunia mfano COVID-19, tetemeko, mafuriko n.k, Kuna kusimamishwa kazi, Kuna kuamishwa kituo Cha kazi umetoka kwenye pesa unaenda kukavu hakuna pesa, Kuna kifo Cha ghafla MFANO Mkurugenzi wa TANESCO aliye pata ajali na kupoteza maisha hapohapo na alikuwa na watoto kumi na tano(15) Kwa wake wawili imagine Kama alikuwa hajawekeza na anaishi kwenye nyumba ya shirika imagine familia yake itakuwaje ? Wekeza sasa.
Ewe mwanaume mwajiriwa nakukumbusha kuwa siku Ukikosa kazi na haujawekeza Kila mtu aliyekuwa anukuheshimu/kukupenda ataanza kukudharau yani wakubwa Kwa watoto utakosa thamani kwenye jamii hii ya sasa inayo heshimu mtu mwenye pesa.
Ewe mwanaume uliye ajiriwa nakukumbusha kuwa siku Ukikosa kazi na haujawekeza familia yako itateseka yani itapitia msoto mkali matibabu shida, chakula shida, elimu wataipata Kwa shida, familia yako itakuwa cheap na mengine mengi.
Ewe mwanaume uliye ajiriwa nahaujawekeza nakukumbusha kuwa ukisubiri kustaafu ndio uwekeze nakupa siri hicho kiinua mgongo chako Kwa %70 kitatapeliwa/kupotea hivyo wekeza sasa.
Ewe mwanaume uliye ajiriwa nahaujawekeza nakukumbusha kuwa siku Ukikosa kazi watoto wako/ndugu zako watateseka sana shule/chuo Kama watafika.
Ewe mwanaume uliye ajiriwa Kwa kulelewa na majimama nakukumbusha kuwekeza kabla haijawa too late.
MWANAMKE
Ewe mwanamke mwajiriwa nakukumbusha kuwa ajira hazidumu umri nao unakimbia hivyo wekeza sasa.
Hata wewe mwanamke unaye tegemea Mbususu kupata mali/pesa Yani unauza mbususu direct au indirect au kupitia mbususu umepata ma sponsor(wanaume za watu au mpenzi/wapenzi ma SIMP) nakukumbusha wekeza sasa kwani Kimsingi mwanaume haishiwi soko. takwimu zinaonyesha kwamba duniani kuna wanawake wengi kuliko wanaume. sasa uki_apply misingi ya biashara katika Demand and Supply utagundua kwamba mwanaume ana subdue the market so mwanamke hauwezi ku_control soko nakupa mfano THAMANI ya mbususu ya chimama-sepetoo wa mwaka 2010-2015 sio sawa na sasa 2025... kwenye ushindani wa watoto wa elfu mbili hivyo basi wekeza sasa kwani hiyo mbususu itashuka thamani kabla ya jua kuzama.
However kama unahitaji fremu kariakoo kwaajili ya kufanya biashara karibu sana .