Umeona lakini hiyo "know Your Customer" alert ya sethi. Jambazi wa Kenya?Akikuwadia Mengi ni sawa kwa kuwa ni Mchagga mwenzio.
Umeona lakini hiyo "know Your Customer" alert ya sethi. Jambazi wa Kenya?
Na kweli ni nchi yake.Sethi: Kwa sasa siwezi kuchukua hatua zozote kwa sababu suala hili kwanza bado lipo mahakamani, tunasubiri uamuzi wa mahakama. Mimi naheshimu mahakama ya kila nchi na Tanzania zaidi kwa sababu hii ni nchi yangu.
Sethi yupo Iringa sasa hivi anajinywea ulanzi wake
niko nae hapa Mafinga
Kweli umeshiba "mahaba" na majambazi bado hutaki kukiri kuwa watoa taarifa wa Stanbic hawakuwa na upande wowote wakati wanatahadharisha juu ya huyu jambazi wa goldenberg na sasa Escrow scandal! Mahakama!!???!!!!Sethi: Kwa sasa siwezi kuchukua hatua zozote kwa sababu suala hili kwanza bado lipo mahakamani, tunasubiri uamuzi wa mahakama. Mimi naheshimu mahakama ya kila nchi na Tanzania zaidi kwa sababu hii ni nchi yangu.
duh kumbe jamaa nchi ipo mfukoni mwakeMimi naheshimu mahakama ya kila nchi na Tanzania zaidi kwa sababu hii ni nchi yangu.[/B][/FONT][/COLOR][/SIZE]
Vipaji vyote vinaibuliwa na CCM.Daah kumbe bongo tuna vipaji.kumbe huyu tapeli ni mbongo
Sethi: Kwa sasa siwezi kuchukua hatua zozote kwa sababu suala hili kwanza bado lipo mahakamani, tunasubiri uamuzi wa mahakama. Mimi naheshimu mahakama ya kila nchi na Tanzania zaidi kwa sababu hii ni nchi yangu.
Tatizo la wabunge wetu ni jazba na kuingilia majukumu yasio ya kwao, na hii inaweza kutucost kama nchi. Mtu hawajamuhoji wala hawakumpa muda huo, still bado swala lenyewe liko mahakamani, ah! Yani mambo vagarant! Hebu tusubiri.
duh kumbe jamaa nchi ipo mfukoni mwake
Kweli umeshiba "mahaba" na majambazi bado hutaki kukiri kuwa watoa taarifa wa Stanbic hawakuwa na upande wowote wakati wanatahadharisha juu ya huyu jambazi wa goldenberg na sasa Escrow scandal! Mahakama!!???!!!!