Sethi: Tegeta Escrow namwachia Mungu

Sethi: Tegeta Escrow namwachia Mungu

Wezi na wanasiasa ni wazuri sana katika kumtaja Mungu, huyu siyo wa kwanza kusema hivi hata Idd Simba, Omary Nundu, Msabaha na wale jamaa wa City Water walipoondolewa ilikuwa hivi hivi
Kwanza wajue kwamba hata hao wanaowaibia Mungu wao ni huyohuyo!
 
Ah Mtanzania? fuatilia goldenberg scandal ya kenya. Kenya Ilifilisiwaje na KANU kufa? Mhusika ni nani tafuta habari usikurupuke!!

Sikiliza kijana hayo fatilia wewe.

Hapa tunaongelea escrow account ambayo ni fedha iliyowekwa humo kwa sababu ya utata zilipwe ngapi. Sasa hayo ya Kenya mwenyewe kishayajibu hapo juu.

Halafu usisahu kuwa juzi tu wamekamilisha mazungumzo ya kuzalisha umeme Kenya au hulijuwi hilo? pitia hapa:

http://www.habarileo.co.tz/index.ph...52-iptl-kupeleka-megawati-2000-za-umeme-kenya
 
Tena mwanachama hai na mfadhili mkuu wa chama cha map..........FaizaaaaHHH!!!!!!!!!??????

Hilo lisikustuwe hata Sabodo anafadhili CCM na Chadema vyote kwa pamoja na deal zake mpaka leo ni za EPA na hakuna anaeweza kunyanyua mdomo.
 
Ushauri kwake wa bure ahame nchi kwani chuki tuliyo nayo kwake ni kubwa sana
 
Pengine Sethi hana makosa. Hii kesi haitajulikana ukweli wake mpaka JK atakapoachia ngazi na kukamatwa.

Kama alikuwa hana makosa kwanini amekimbia?Hii ya kutishia kwenda mahakamani,labda kama MAHKAMA za TANZANIA ambazo MAHAKIMU wake wanapokea zawadi toka kwa WATUHUMIWA.Lakini asilogwe akapeleka kesi mahakama za kimataifa vitaibuliwa na vilivyozikwa kwa muda.

Nafuu akubali kuondoka wala asirudi tena.

Pili kama ni MTANZANIA na uchungu na Nchi yake kwanini alifanya UFISADI wa aina hii,na kwanini asiendelee kubaki bongo wote tukawatunaisubiria saga alilolitengeneza?

Ninauhakika wachumia tumbo wote AG,PM,JK,Chenge & Coy ndiyo waliomwambia aondoke na yawezekana alisaidiwa kuondoka ili yakiisha haya arudi.

Ninamtahadharisha asilogwe arudi yaani labda RAIS awe PINDA au MUHONGO
 
Anamuachia Mungu utapeli wake? Mbona haelezi jinsi alivyowachenga wenye mamlaka ktk kuuziana hisa mpaka akakwepa kodi?

TRA wameanza kumshughulia analeta mayowe akafie mbele.....

vijana wa mengi fisadi mla vyakupewa jaziba siyo tija sheria zipo hawezi kutaifishwa kama anataifishwa pikipiki unajua neno mtambo lakini hii siyo redio one bana.
 
Kama alikuwa hana makosa kwanini amekimbia?Hii ya kutishia kwenda mahakamani,labda kama MAHKAMA za TANZANIA ambazo MAHAKIMU wake wanapokea zawadi toka kwa WATUHUMIWA.Lakini asilogwe akapeleka kesi mahakama za kimataifa vitaibuliwa na vilivyozikwa kwa muda.

Nafuu akubali kuondoka wala asirudi tena.

Pili kama ni MTANZANIA na uchungu na Nchi yake kwanini alifanya UFISADI wa aina hii,na kwanini asiendelee kubaki bongo wote tukawatunaisubiria saga alilolitengeneza?

Ninauhakika wachumia tumbo wote AG,PM,JK,Chenge & Coy ndiyo waliomwambia aondoke na yawezekana alisaidiwa kuondoka ili yakiisha haya arudi.

Ninamtahadharisha asilogwe arudi yaani labda RAIS awe PINDA au MUHONGO

jibu jepesi sana amekimbia kwasababu nyie kupitia mengi na mkono mnataka kumdhuru kwa umafia wenu.
 
Hapo kwenye rangi nyekundu hapo kwani bado mnauwa watu kama mnavyofanya siku zote kwa kutumiwa na hao mafisadi.
 
Sikiliza kijana hayo fatilia wewe.

Hapa tunaongelea escrow account ambayo ni fedha iliyowekwa humo kwa sababu ya utata zilipwe ngapi. Sasa hayo ya Kenya mwenyewe kishayajibu hapo juu.

Halafu usisahu kuwa juzi tu wamekamilisha mazungumzo ya kuzalisha umeme Kenya au hulijuwi hilo? pitia hapa:

http://www.habarileo.co.tz/index.ph...52-iptl-kupeleka-megawati-2000-za-umeme-kenya

Fuatilia wewe ajuza usituletee majambazi wa kimataifa hapa!! Hivi nyie magamba mtaacha lini kukuwadia raslimali zetu? soma number KYC signal from Stanbic

10405591_863553523697493_1048036785145755847_n.jpg
 
[/COLOR]
Hapo kwenye rangi nyekundu hapo kwani bado mnauwa watu kama mnavyofanya siku zote kwa kutumiwa na hao mafisadi.

Mawazo yako kwenye kuuwa tu,hivi huyu hawezi kushtakiwa?Wanye tabia ya kuua watuni CCM na serikali yake,tulishudia kwa Mwangozi na hata Mtuhumiwa wa Mabomu Arusha.Ni mpumbavu tu ndiye afikiriaye kutoa roho ya mtu mwingine.
 
Fuatilia wewe ajuza usituletee majambazi wa kimataifa hapa!! Hivi nyie magamba mtaacha lini kukuwadia raslimali zetu? soma number KYC signal from Stanbic

Akikuwadia Mengi ni sawa kwa kuwa ni Mchagga mwenzio.
 
jibu jepesi sana amekimbia kwasababu nyie kupitia mengi na mkono mnataka kumdhuru kwa umafia wenu.

MAFIA ni hao akina Muhongo & Coy wenye nia ya kuua watu ndiyo maana mnawatishia watu wasio na hatia,ref to Kafulila,Zitto,na Mwanasheria mliyemfukuza TANESCO.

Yaani mbaya zaidi ni kuwa sababu mnakawaida ya kuwafanyia wale wanaojua uovu wenu mabaya basi unadhani wote wako kama nyie.Kaa mbali na WATANZANIA hatuwahitaji watu kama nyinyi msiujua UTU,na Mungu peke yake ndiye mwenye haki ya kutoa roho za watu,na wala hatoi kucha wala kufungua kesi za kipumbavu sababu wako tofauti nanyie,wezi,majangili wa mali za umma.
 
Hilo tapeli la kimataifa. Kwa makusudi kabisa katumiwa maana ni rahisi kuyeyuka mambo yakiwa magumu.
Ukweli utabainika Kuanzia mwaka 2016 maana hofu ya nchi kutikisika haitakuwepo!
 
Back
Top Bottom