Sethi: Tegeta Escrow namwachia Mungu

Sethi: Tegeta Escrow namwachia Mungu

vijana wa mengi fisadi mla vyakupewa jaziba siyo tija sheria zipo hawezi kutaifishwa kama anataifishwa pikipiki unajua neno mtambo lakini hii siyo redio one bana.

Toilet paper hazina thamani yoyote baada ya kutumika.
 
Anamuachia Mungu utapeli wake? Mbona haelezi jinsi alivyowachenga wenye mamlaka ktk kuuziana hisa mpaka akakwepa kodi?


TRA wameanza kumshughulia analeta mayowe akafie mbele.....

Anmwachia Al Shabaab yaami!
 
Anaogopa nini kusema nchi aliyokimbilia jambazi mkubwa. Amesababisha ccm ianguke pu.mbav. Sana eti namwachia mungu hivihivi Tu kirahisi shenzi Sana hiyo nchi aliyopo wamfukuze labda Kama yupo kwao India maana nimesikia fedha nyingi alizoiba kapeleka kwenye bank huko New Delhi India kwao. Mwizi mkubwa
 
Atamjulia wapwrap mungu hyu mzulumishi wa rasilimali za walalahoi
 
Mbavu zangu mie ...... huyu man singh seth anasemaje ati?
Mbona ni kichekesho mbele ya washika dau.
 
Kama alikuwa hana makosa kwanini amekimbia?Hii ya kutishia kwenda mahakamani,labda kama MAHKAMA za TANZANIA ambazo MAHAKIMU wake wanapokea zawadi toka kwa WATUHUMIWA.Lakini asilogwe akapeleka kesi mahakama za kimataifa vitaibuliwa na vilivyozikwa kwa muda.

Nafuu akubali kuondoka wala asirudi tena.

Pili kama ni MTANZANIA na uchungu na Nchi yake kwanini alifanya UFISADI wa aina hii,na kwanini asiendelee kubaki bongo wote tukawatunaisubiria saga alilolitengeneza?

Ninauhakika wachumia tumbo wote AG,PM,JK,Chenge & Coy ndiyo waliomwambia aondoke na yawezekana alisaidiwa kuondoka ili yakiisha haya arudi.

Ninamtahadharisha asilogwe arudi yaani labda RAIS awe PINDA au MUHONGO
Unasema kweli huyu bwana keshakimbia!?

 
Akiwa Kenya anasema yeye ni Mkenya, akiwa South Africa anasema yeye ni Muafrikana. Tapeli huwa anapenda umuone ni ndugu yako kama sehemu yake ya kufanikisha kukutapeli.
Ova

Hapo umenena maana hata Kenya anajulikana ni mzaliwa wa huko alizaliwa 1958
 
Ningejua alipo hata kama ni nje ya nchi ningeenda nimtafute kwa njia zote nimpe dawa fulani inaitwa kwa kikwetu mfalanyasaki indwe. dawa hii ndani ya dakika 15 inaharibu mfumo wa mwili kwa kuharibu ini,mapafu,kongosho, bandama,figo, mzunguko wa damu,upofu na akili hatimae anatangulia jehenam moja kwa moja!
 
Tatizo la wabunge wetu ni jazba na kuingilia majukumu yasio ya kwao, na hii inaweza kutucost kama nchi. Mtu hawajamuhoji wala hawakumpa muda huo, still bado swala lenyewe liko mahakamani, ah! Yani mambo vagarant! Hebu tusubiri.
 
Back
Top Bottom