Set nzima ya vifaa vya chips inauzwa

Bac3

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2016
Posts
392
Reaction score
437

MAHALI
Dar es salaam kinondoni
PIGA SIMU
0683473391


JUICE DISPENSER mpya inauzwa 1.4 hadi 1.5M
hii nakupatia kwa 850,000 inapiga kazi haswaa...inagandisha kabisaa...hapo unaizungushia sticker nyingine rangi yako tu inaonekana fresh zaidi





Kabati mbili zote 180000
moja unaeza weka viazi na ndizi na kachumbari
nyingine ikajaa mishkaki na kuku


meza mbili hizo zina socket pande mbili mbili..wateja kuchajia simu na viti vyake hivo viwili..vingine viliharibika....zote 150,000


fridge heavy duty haswaaa..inagandisha faster..afu ni kubwa saana..inafaa ksa biashara na nyumbani
nilinunua laki saba....nakupatia kwa 500,000 tu




vyombo ( sahani,bakuli,vikaango,ndoo etc ) utapata jumla kwa 70,000






karai utapata kwa 20,000 na sink utapata jwa 40,000 tu



majiko ( la feni, la mishkaki na kukaangia na la kawaida ) utapata yote kwa 100,000





frem ya tv inchi 43 utapata kwa 30,000 tu





mtungi wa gesi utapata kwa 40,000 tu




meza ya kumenyea au kupanga sahani..utapata kwa 30,000





Baiskeli nimesahau kupiga picha ola ipo ni kubwa ya gear na ina vikapu tayari kwa ajiri ya kufanyia delivery...utapata kwa 100,000


meza moja ndefu ina socket za kuchajia pande zote mbili..na viti vyake vitatu virefu...utapata kwa 120,000



 

Attachments

  • IMG_20250720_183506_108.jpg
    460.5 KB · Views: 24
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…