Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,235
Eddy Murphy mharibifu sana wa Wanawake, khaaaa!!!! Yaani ukiangalia LIST wale wanaofahamika Official ni wengi sana.
Ngoja tuanzie na alioTANGAZA ndoa....
Nicole Murphy
Akamuacha Mkewe na kumchukua aliyekuwa Mke wa Producer maarufu, Babyface, aitwaye Tracey Edmonds
Na yeye akamuacha.
Akasota na Mariah Carey mara baada ya kuachana na Nicole......
Akaenda Mzalisha Mel B wa Spice Girl......
Juhudi zimemletea Watoto WANANE. Huyu jamaa kweli anatimiza maagizo ya kuijaza dunia kama Mchanga wa bahari.....
Samahani kwa kuchopoka nje kidogo, endelea kushusha Mavituz ya Mima inayojitunza. Kwa Tanzania vipi?