Serious nahitaji ushauri nifanyeje ili niondokane na hili

Serious nahitaji ushauri nifanyeje ili niondokane na hili

kwanini story za kutunga/kubuni ni tamu kuliko story za kweli?nauliza tu
 
oooh! kwel! unakufa baba erick, ila ucjar safar njema axee maana xion! kama una nafac ya kupona.... nb🙁mwanaume ni maamuzi kama hauna badili id yako ianzie na 'ma')
 
pole kaka, hivi ulivyoanza hukulijua hilo ndugu yangu???

Jiandae kutafuta samaki kwenye vumbi maana wajeda sio kabisa.

Utafumuliwa marinda siku si nyingi.
 
mmh mkuu hapo itabid utumie zaid akili kuliko nguvu ,lazima umsomeshe kiaina yeye mwenyewe akubali kurud kwa mumewe maaana anaonekana keshajitoa muhanga kwa hilo so make sure u do it kabla haijakuka kwako
 
Habari wana MMU,

Ni mda mrefu sijaja jamvini kuongea nanyi ila leo imenilazimu kwasababu nina tatizo linalonisumbua sana. Mwaka juzi nilianzisha mahusiano na dada mmoja hapa Dar na baada ya muda alinieleza ukweli baada ya kunificha kwa muda kuwa yeye ni mke wa mwanajeshi na ana watoto wawili na mme wake huwa hamridhishi na ndiyo sababu ameamua kuwa na mimi kwa sababu namridhisha na hajawahi enjoy mapenzi kwa kiasi hicho tangia azaliwe.

Mapenzi yetu ya wizi yalikolea na kutokana na mme wake kwenda Sudan kikazi basi tulijiachia sana mpaka kufikia hatua binti akatoroka kwake akahamia kwangu ila bwana yake aliporudi ikabidi arudi kwake na watoto aliwapeleka Mwanza ukweni. Kinachonisumbua ni kuwa tangia mwezi wa kumi na mbili binti amenitegesha ujauzito na alishabeba mimba mara mbili ila kila mme wake akijua anamlazimisha kutoa na kumwambia kuwa hayukotayari kulea.

Nilipoona haya yamejiri nilimwambia binti tuvunje mahusiano nikabadilisha na namba za simu. Alipoona hayo alichukua vitu vyake na kuhamia kwangu nikiwa kazini nikamkuta nje, leo ni siku ya nane yupo kwangu.

Jamani mie nakufa, naomba mnishauri wadau nifanyenini

Kifo chema!
 
mmh mkuu hapo itabid utumie zaid akili kuliko nguvu ,lazima umsomeshe kiaina yeye mwenyewe akubali kurud kwa mumewe maaana anaonekana keshajitoa muhanga kwa hilo so make sure u do it kabla haijakuka kwako

Aksante sana ndugu yangu niko ofisini yaani nimeshamuanzishia fujo yaani leo hakutalalika kaka lazima nimtoe
 
Utakufa wewe,unachezea maisha ya mwanàjeshi, ooooh! Mtimue haraka sana kabla jamaa hajarudi na ukate mawasiliano,ikiwezekana hama hayo makazi kwa muda usiojulikana!
 
"Jamani mie nakufa, naomba mnishauri wadau nifanyenini"
KUFA HUJUI MKE WA MTU SUMU............
 
Sinaa ht cha kukushauri zaidi yakukutakia uliwaji mwema wa tigo wanatia tigo haoooo .mtaan kwetu kuna aliyekutwaga na beki tatu wa mjedaaa mjeda alimlaa tigo jamaa mpk akishindwa kutembea akawa anatamba kwa tumbo .shauri yako ww unaejipendekezaa kwa mke wa mjedaaa
 
Back
Top Bottom