Serious nahitaji ushauri nifanyeje ili niondokane na hili

Serious nahitaji ushauri nifanyeje ili niondokane na hili

Jamani nashukuru kwa ushauri wenu wote mlionishauri naona jana nimeongea naye kwa busara anasema hataki kurudi kwa huyo bwana yake anaenda kijiji kuanza maisha eti
 
Heee !makubwa!
Kweli kuna wanawake hawana akili,ndo alikuficha kiasi hicho?
Au huyo mwanajeshi kazaa nae tu hawajafunga ndoa?
Manaake hainiingii akilini
Hata mm hainiingii akilini
eti Mwanajeshi ni mchovu kulinganisha na Raia wa mtaani kwa liKwata na RIGWARIDE
huyu Mama kazoeaa kuLabuliwa sasa kinamuwasha Baba Erick kimbia hilo tifu huliwezi ni kifo sanasana ni kufumuliwa mke wa mtu sumu
 
Last edited by a moderator:
Huyo mwanamke hana akili, kama mimi ndo uyo mwanajeshi na nikajua kafanya ivyo basi tunagawana majengo ya serikali, kama mimi nikienda segelea basi yeye na wewe muwe mshatangulia mochwari! Ni yale yale ya Ofoo saro
 
Kweli kabisa "idol minds are the workshop of devil" unamscrew mke wa mtu na bado unamkaribisha nyumbani kwako, usije ukamchukulia mtu mnyonge kwa mwonekano wake, huwenda matendo yake ni ya kutisha zaidi na zaidi.
 
Subiri mjeda arudi ndo utajua huyo mwanamke ni uma au au si wa uma
 
we hama mji kabisa, hao jamaa milipuko huwa inawaharibu akili,,,,, sasa wewe utakuwa faraja yake....
 
Habari wana MMU,

Ni mda mrefu sijaja jamvini kuongea nanyi ila leo imenilazimu kwasababu nina tatizo linalonisumbua sana. Mwaka juzi nilianzisha mahusiano na dada mmoja hapa Dar na baada ya muda alinieleza ukweli baada ya kunificha kwa muda kuwa yeye ni mke wa mwanajeshi na ana watoto wawili na mme wake huwa hamridhishi na ndiyo sababu ameamua kuwa na mimi kwa sababu namridhisha na hajawahi enjoy mapenzi kwa kiasi hicho tangia azaliwe.

Mapenzi yetu ya wizi yalikolea na kutokana na mme wake kwenda Sudan kikazi basi tulijiachia sana mpaka kufikia hatua binti akatoroka kwake akahamia kwangu ila bwana yake aliporudi ikabidi arudi kwake na watoto aliwapeleka Mwanza ukweni. Kinachonisumbua ni kuwa tangia mwezi wa kumi na mbili binti amenitegesha ujauzito na alishabeba mimba mara mbili ila kila mme wake akijua anamlazimisha kutoa na kumwambia kuwa hayukotayari kulea.

Nilipoona haya yamejiri nilimwambia binti tuvunje mahusiano nikabadilisha na namba za simu. Alipoona hayo alichukua vitu vyake na kuhamia kwangu nikiwa kazini nikamkuta nje, leo ni siku ya nane yupo kwangu.

Jamani mie nakufa, naomba mnishauri wadau nifanyenini

Siku mjeshi akikupiga RPG tigoni uje kuomba ushauri pia!
 
wakudedishe tu, unataeanya familia alafu unaomba ushauli. ndoa lazima ilindwe kwa garampa ata mauti kama taifa linavyolindwa.
 
wakudedishe tu, unatawanya familia alafu unaomba ushauli. ndoa lazima ilindwe kwa garama ata mauti kama taifa linavyolindwa.
 
Back
Top Bottom