Serious kichwa kinaniuma, shemeji yangu ana mimba yangu

We kwa huo umri wako hujui matokeo ya izinzi? hatuombei lkn kwa mwendokas ulonao mda c mrefu utakuja kuomba ishaur kwamba unamagonjwa ya z*****n
 
Habari zenu wapendwa,hakika jana haikuwa siku nzuri kwangu,kama mnavojua nilishasema kwamba nina watoto watatu wa mama tofauti,kuna TRAVIS,SEAN na MOUREEN.,sasa iko hivi,ni kwa muda mrefu nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdogo wa mama Moureen,tumekuwa kwenye mahusiano ya siri sana,na mkumbuke mama Moureen ndie yule niliyembikiri kisha baadae akanizalia mtoto na nishasema sitamuoa kwa sababu ya mdomo na gubu lake,,basi kuna siku mimi na mdogo wa mama Moureen tulikuwa tunachat Whatsapp.kwa bahati mbaya mama Moureen alikuja akaona zile conversations zote za mapenzi na ndipo akagundua ya kwamba natoka na mdogo ake,kwa kweli aliniuliza na aliumia sana,na nilishindwa kujitetea wala kubisha zaidi tu ya kuomba msamaha,ila mahusiano na mdogo ake hayakuisha,tumeendelea kimyakimya na kwa siri sana,sasa jana mtoto kaniambia siku zake za period zimepitiliza ,harafu anatapika na anachagua misosi,nikaogopa,tumeenda hospital flani ya binafsi kupima mimba kwa kweli ni kwamba huyu binti ni mjamzito.yaani jana nzima kichwa kinanigonga balaaa,sijui hata nifanye nini,maana sina raha kabisa.na huyu binti anashinda analia kutwa kwao ila hajawaambia anacholia ni nini?? Naogopa itakuwa ni aibu kwenye familia yangu na kwa jamii pia.kutoa naogopa mana sijawahi kumtoa yeyote yule na naogopa asije akafa ila pia ni dhambi.sielewi hata nifanye nini,nahisi kukonda siku mbili tu,kila nikiwaza mwili unashtuka maana hili jambo linaninyima amani sana
Sasa mkuu mlivyokua mnafanya hivyo hukujua ni dhambi?? Hicho kichwa kinauma coz ndo unalipa ulichokifanya...Ndugu beba tu msalaba wako na ole wenu mkiitoa hiyo mimba.....
 
Habari zenu wapendwa,hakika jana haikuwa siku nzuri kwangu,kama mnavojua nilishasema kwamba nina watoto watatu wa mama tofauti,kuna TRAVIS,SEAN na MOUREEN.,sasa iko hivi,ni kwa muda mrefu nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdogo wa mama Moureen,tumekuwa kwenye mahusiano ya siri sana,na mkumbuke mama Moureen ndie yule niliyembikiri kisha baadae akanizalia mtoto na nishasema sitamuoa kwa sababu ya mdomo na gubu lake,,basi kuna siku mimi na mdogo wa mama Moureen tulikuwa tunachat Whatsapp.kwa bahati mbaya mama Moureen alikuja akaona zile conversations zote za mapenzi na ndipo akagundua ya kwamba natoka na mdogo ake,kwa kweli aliniuliza na aliumia sana,na nilishindwa kujitetea wala kubisha zaidi tu ya kuomba msamaha,ila mahusiano na mdogo ake hayakuisha,tumeendelea kimyakimya na kwa siri sana,sasa jana mtoto kaniambia siku zake za period zimepitiliza ,harafu anatapika na anachagua misosi,nikaogopa,tumeenda hospital flani ya binafsi kupima mimba kwa kweli ni kwamba huyu binti ni mjamzito.yaani jana nzima kichwa kinanigonga balaaa,sijui hata nifanye nini,maana sina raha kabisa.na huyu binti anashinda analia kutwa kwao ila hajawaambia anacholia ni nini?? Naogopa itakuwa ni aibu kwenye familia yangu na kwa jamii pia.kutoa naogopa mana sijawahi kumtoa yeyote yule na naogopa asije akafa ila pia ni dhambi.sielewi hata nifanye nini,nahisi kukonda siku mbili tu,kila nikiwaza mwili unashtuka maana hili jambo linaninyima amani sana
Hivi wewe mara una wanawake wa3 mara shem Ana mimba yako woyyyy
 
Humu wakati mwingine uwa nanusa story za kutunga, yaani hadi majina ya watoto umeyataja, I'm smelling something fishy
 
Habari zenu wapendwa,hakika jana haikuwa siku nzuri kwangu,kama mnavojua nilishasema kwamba nina watoto watatu wa mama tofauti,kuna TRAVIS,SEAN na MOUREEN.,sasa iko hivi,ni kwa muda mrefu nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdogo wa mama Moureen,tumekuwa kwenye mahusiano ya siri sana,na mkumbuke mama Moureen ndie yule niliyembikiri kisha baadae akanizalia mtoto na nishasema sitamuoa kwa sababu ya mdomo na gubu lake,,basi kuna siku mimi na mdogo wa mama Moureen tulikuwa tunachat Whatsapp.kwa bahati mbaya mama Moureen alikuja akaona zile conversations zote za mapenzi na ndipo akagundua ya kwamba natoka na mdogo ake,kwa kweli aliniuliza na aliumia sana,na nilishindwa kujitetea wala kubisha zaidi tu ya kuomba msamaha,ila mahusiano na mdogo ake hayakuisha,tumeendelea kimyakimya na kwa siri sana,sasa jana mtoto kaniambia siku zake za period zimepitiliza ,harafu anatapika na anachagua misosi,nikaogopa,tumeenda hospital flani ya binafsi kupima mimba kwa kweli ni kwamba huyu binti ni mjamzito.yaani jana nzima kichwa kinanigonga balaaa,sijui hata nifanye nini,maana sina raha kabisa.na huyu binti anashinda analia kutwa kwao ila hajawaambia anacholia ni nini?? Naogopa itakuwa ni aibu kwenye familia yangu na kwa jamii pia.kutoa naogopa mana sijawahi kumtoa yeyote yule na naogopa asije akafa ila pia ni dhambi.sielewi hata nifanye nini,nahisi kukonda siku mbili tu,kila nikiwaza mwili unashtuka maana hili jambo linaninyima amani sana
Mwache Azae.
Zamani ukioa dada unapewa na mdogo wake nyongeza nadhani haijafutwa hiyo kitu bado applicale. Wewe hapo umetumia vyema nyongeza.

Makofi tafadhali kwake kwa kazi nzuri
 
Mkuu nenda tu hospitali wakakufunge kizazi watoto wanne wanakutosha, maana we unaonekana ni gusa unase na huwezi kuacha hizo mambo za chovya chovya.
 
Kwa hiyo kutembea na shemeji yako sio dhambi??? Ila dhambi kutoa mimba?? Duuuu mm sijui aiseee ili tu kwa maono yangu ilo litajulikana ili kudhililisha kuwa bado ulikuw una date na shemejio
Tamaa ilimponza fisi,umedondokea maiki. Au udondokee Kyle..
 
Maumivu ya kichwa huanza Polepole na sikio la kufa haliskii dawa. Hata ilipogundulika na mkeo kaboreka mbaya ukaendelea. Huko nyuma ushawaharibu wawili. Shem ni wa 4, Jiandae kuishi na wa tano. Shem huwezi ishi nae.
 
sasa ushauri wa nini.....ukimwi upo.....wanao wanakuhitaji....
 
Back
Top Bottom