Serious kichwa kinaniuma, shemeji yangu ana mimba yangu

Habari zenu wapendwa,hakika jana haikuwa siku nzuri kwangu,kama mnavojua nilishasema kwamba nina watoto watatu wa mama tofauti,kuna TRAVIS,SEAN na MOUREEN.,sasa iko hivi,ni kwa muda mrefu nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdogo wa mama Moureen,tumekuwa kwenye mahusiano ya siri sana,na mkumbuke mama Moureen ndie yule niliyembikiri kisha baadae akanizalia mtoto na nishasema sitamuoa kwa sababu ya mdomo na gubu lake,,basi kuna siku mimi na mdogo wa mama Moureen tulikuwa tunachat Whatsapp.kwa bahati mbaya mama Moureen alikuja akaona zile conversations zote za mapenzi na ndipo akagundua ya kwamba natoka na mdogo ake,kwa kweli aliniuliza na aliumia sana,na nilishindwa kujitetea wala kubisha zaidi tu ya kuomba msamaha,ila mahusiano na mdogo ake hayakuisha,tumeendelea kimyakimya na kwa siri sana,sasa jana mtoto kaniambia siku zake za period zimepitiliza ,harafu anatapika na anachagua misosi,nikaogopa,tumeenda hospital flani ya binafsi kupima mimba kwa kweli ni kwamba huyu binti ni mjamzito.yaani jana nzima kichwa kinanigonga balaaa,sijui hata nifanye nini,maana sina raha kabisa.na huyu binti anashinda analia kutwa kwao ila hajawaambia anacholia ni nini?? Naogopa itakuwa ni aibu kwenye familia yangu na kwa jamii pia.kutoa naogopa mana sijawahi kumtoa yeyote yule na naogopa asije akafa ila pia ni dhambi.sielewi hata nifanye nini,nahisi kukonda siku mbili tu,kila nikiwaza mwili unashtuka maana hili jambo linaninyima amani sana
Kama hii ndo tabia yako hutokuja kuishi na mwanamke yeyote maishani kwako, utaishia kuwazalisha. We subiri mtoto azaliwe tu haitokuwa ajabu maana wenzie wote wana mama zao kila mmoja na tena yeye atakuwa ana bahati kuliko ndugu zake maana yeye na Moureen watakuwa ni siblings at the same time cousins. Hongera baba kijacho.

Kwavile hukuwa na azma ya kumuoa mama Moureen chance ndo hiyo ushapata mwambie umetia mimba mdogo wake.
 
Habari zenu wapendwa,hakika jana haikuwa siku nzuri kwangu,kama mnavojua nilishasema kwamba nina watoto watatu wa mama tofauti,kuna TRAVIS,SEAN na MOUREEN.,sasa iko hivi,ni kwa muda mrefu nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdogo wa mama Moureen,tumekuwa kwenye mahusiano ya siri sana,na mkumbuke mama Moureen ndie yule niliyembikiri kisha baadae akanizalia mtoto na nishasema sitamuoa kwa sababu ya mdomo na gubu lake,,basi kuna siku mimi na mdogo wa mama Moureen tulikuwa tunachat Whatsapp.kwa bahati mbaya mama Moureen alikuja akaona zile conversations zote za mapenzi na ndipo akagundua ya kwamba natoka na mdogo ake,kwa kweli aliniuliza na aliumia sana,na nilishindwa kujitetea wala kubisha zaidi tu ya kuomba msamaha,ila mahusiano na mdogo ake hayakuisha,tumeendelea kimyakimya na kwa siri sana,sasa jana mtoto kaniambia siku zake za period zimepitiliza ,harafu anatapika na anachagua misosi,nikaogopa,tumeenda hospital flani ya binafsi kupima mimba kwa kweli ni kwamba huyu binti ni mjamzito.yaani jana nzima kichwa kinanigonga balaaa,sijui hata nifanye nini,maana sina raha kabisa.na huyu binti anashinda analia kutwa kwao ila hajawaambia anacholia ni nini?? Naogopa itakuwa ni aibu kwenye familia yangu na kwa jamii pia.kutoa naogopa mana sijawahi kumtoa yeyote yule na naogopa asije akafa ila pia ni dhambi.sielewi hata nifanye nini,nahisi kukonda siku mbili tu,kila nikiwaza mwili unashtuka maana hili jambo linaninyima amani sana
Unaweza kuwa ni mzushi tu wewe na unatafuta umaarufu wa kijinga kama mjinga mwenzio moniccca.

Unadhani watu wote humu ni mamburura, pole jipange uje upyaa.
 
Shenzi we umri huo huvai condom inazaa kama paka?sherehekea upunda wako sasa mxiuuu
 
Hivi inawezekanaje mtu mzima mwenye akili yako tena ambaye hukulazimishwa kufanya hicho kitendo ukafanya kwa hiari yako na uka enjoy kabisa then eti mwisho wa picha unakuja kushangazwa na mimba?.hivi kuna asiyejua outcome ya kujamiina ni nini.acheni uboya
 
Unaweza kuwa ni mzushi tu wewe na unatafuta umaarufu wa kijinga kama mjinga mwenzio moniccca.

Unadhani watu wote humu ni mamburura, pole jipange uje upyaa.
Acha uboya,mi umaarufu wa kazi gani?
 
Habari zenu wapendwa,hakika jana haikuwa siku nzuri kwangu,kama mnavojua nilishasema kwamba nina watoto watatu wa mama tofauti,kuna TRAVIS,SEAN na MOUREEN.,sasa iko hivi,ni kwa muda mrefu nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdogo wa mama Moureen,tumekuwa kwenye mahusiano ya siri sana,na mkumbuke mama Moureen ndie yule niliyembikiri kisha baadae akanizalia mtoto na nishasema sitamuoa kwa sababu ya mdomo na gubu lake,,basi kuna siku mimi na mdogo wa mama Moureen tulikuwa tunachat Whatsapp.kwa bahati mbaya mama Moureen alikuja akaona zile conversations zote za mapenzi na ndipo akagundua ya kwamba natoka na mdogo ake,kwa kweli aliniuliza na aliumia sana,na nilishindwa kujitetea wala kubisha zaidi tu ya kuomba msamaha,ila mahusiano na mdogo ake hayakuisha,tumeendelea kimyakimya na kwa siri sana,sasa jana mtoto kaniambia siku zake za period zimepitiliza ,harafu anatapika na anachagua misosi,nikaogopa,tumeenda hospital flani ya binafsi kupima mimba kwa kweli ni kwamba huyu binti ni mjamzito.yaani jana nzima kichwa kinanigonga balaaa,sijui hata nifanye nini,maana sina raha kabisa.na huyu binti anashinda analia kutwa kwao ila hajawaambia anacholia ni nini?? Naogopa itakuwa ni aibu kwenye familia yangu na kwa jamii pia.kutoa naogopa mana sijawahi kumtoa yeyote yule na naogopa asije akafa ila pia ni dhambi.sielewi hata nifanye nini,nahisi kukonda siku mbili tu,kila nikiwaza mwili unashtuka maana hili jambo linaninyima amani sana
Hahahaha chai hii [emoji23][emoji23]
Shigongo Jr.
 
Kuoa sitaki mimi,uwezo wa kulea mke ninao ila tu sipendi kuoa kwa sasa
Utakula jeuri yako sasa unaonekana una kiburi watoto wanne bado hutaki kuoa enzi za mwalimu ungekula mboko kama 20 hivi ndo mengine yafuate.
 
Jinyonge tu sasa, khaa ujinga ufanye wewe halafu unataka nn?
 
Unaogopa na kuona aibu kumpa mimba mbona Kumgegeda hukuogopa mkuu na ulikua na amani kufinya papuchi yake,,,,,,,,,,,,,,,,,Kila la kheri na hongera usisahau kuleta mrejesho akijifungua
 
Haa haa haa msiba wakujitakia hauhitaj kilio
 
Back
Top Bottom