Serious kichwa kinaniuma, shemeji yangu ana mimba yangu

Wakati mnagegedana hukujua kuna aibu, hebu usitutanie
 
Kweli ukistaajabu ya lubuva utaona ya jecha..... nyie ndo mnafanya wanawake wanakuwa na roho mbaya..
 
kumtongoza umtongozee weweee
Kumvua umvue weweee
Kuzama chumvini uzame wewee
Kumlamba sikio umlambee weweee
Kumgegeda umgegedede weweee
utamu mpatee nyieee
kumpa mimba umpee weweee

afu ushaurii tutoee sieeeeeeeeee
Majangaaaaaaaaaa
Mbona majangaaaaaaaaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Utamu wa ngono hunoga pale ambapo hakuna matatizo. Ila yakijitokeza km haya utamu wote wa ngono unakata mpaka unajilaumu.
Hiyo ndiyo hasara ya ngono.
Pole sana. Ipo siku utapata ngoma
 
Habari zenu wapendwa,hakika jana haikuwa siku nzuri kwangu,kama mnavojua nilishasema kwamba nina watoto watatu wa mama tofauti,kuna TRAVIS,SEAN na MOUREEN.,sasa iko hivi,ni kwa muda mrefu nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdogo wa mama Moureen,tumekuwa kwenye mahusiano ya siri sana,na mkumbuke mama Moureen ndie yule niliyembikiri kisha baadae akanizalia mtoto na nishasema sitamuoa kwa sababu ya mdomo na gubu lake,,basi kuna siku mimi na mdogo wa mama Moureen tulikuwa tunachat Whatsapp.kwa bahati mbaya mama Moureen alikuja akaona zile conversations zote za mapenzi na ndipo akagundua ya kwamba natoka na mdogo ake,kwa kweli aliniuliza na aliumia sana,na nilishindwa kujitetea wala kubisha zaidi tu ya kuomba msamaha,ila mahusiano na mdogo ake hayakuisha,tumeendelea kimyakimya na kwa siri sana,sasa jana mtoto kaniambia siku zake za period zimepitiliza ,harafu anatapika na anachagua misosi,nikaogopa,tumeenda hospital flani ya binafsi kupima mimba kwa kweli ni kwamba huyu binti ni mjamzito.yaani jana nzima kichwa kinanigonga balaaa,sijui hata nifanye nini,maana sina raha kabisa.na huyu binti anashinda analia kutwa kwao ila hajawaambia anacholia ni nini?? Naogopa itakuwa ni aibu kwenye familia yangu na kwa jamii pia.kutoa naogopa mana sijawahi kumtoa yeyote yule na naogopa asije akafa ila pia ni dhambi.sielewi hata nifanye nini,nahisi kukonda siku mbili tu,kila nikiwaza mwili unashtuka maana hili jambo linaninyima amani sana

!
!
Kuna muda huwa nawaza kuwe na kamati ya kuchuja nyuzi kabla hazijapandishwa huku juu tuzione.. Mfyuu... Utajua mwenyewe na maujinga yako
 
Huu ni ujinga.Mtu unamgonga shemejio tena unakojolea ndani halafu akipata ujauzito kichwa kinauma.ulitegemea apate nn sasa?
 
Habari zenu wapendwa,hakika jana haikuwa siku nzuri kwangu,kama mnavojua nilishasema kwamba nina watoto watatu wa mama tofauti,kuna TRAVIS,SEAN na MOUREEN.,sasa iko hivi,ni kwa muda mrefu nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdogo wa mama Moureen,tumekuwa kwenye mahusiano ya siri sana,na mkumbuke mama Moureen ndie yule niliyembikiri kisha baadae akanizalia mtoto na nishasema sitamuoa kwa sababu ya mdomo na gubu lake,,basi kuna siku mimi na mdogo wa mama Moureen tulikuwa tunachat Whatsapp.kwa bahati mbaya mama Moureen alikuja akaona zile conversations zote za mapenzi na ndipo akagundua ya kwamba natoka na mdogo ake,kwa kweli aliniuliza na aliumia sana,na nilishindwa kujitetea wala kubisha zaidi tu ya kuomba msamaha,ila mahusiano na mdogo ake hayakuisha,tumeendelea kimyakimya na kwa siri sana,sasa jana mtoto kaniambia siku zake za period zimepitiliza ,harafu anatapika na anachagua misosi,nikaogopa,tumeenda hospital flani ya binafsi kupima mimba kwa kweli ni kwamba huyu binti ni mjamzito.yaani jana nzima kichwa kinanigonga balaaa,sijui hata nifanye nini,maana sina raha kabisa.na huyu binti anashinda analia kutwa kwao ila hajawaambia anacholia ni nini?? Naogopa itakuwa ni aibu kwenye familia yangu na kwa jamii pia.kutoa naogopa mana sijawahi kumtoa yeyote yule na naogopa asije akafa ila pia ni dhambi.sielewi hata nifanye nini,nahisi kukonda siku mbili tu,kila nikiwaza mwili unashtuka maana hili jambo linaninyima amani sana

Dah, kukonda mbona na priviledge, angalau kuna muitikio chanya kwenye hilo
 
Akati unafanya tendo la uumbaji hukuyategemea hayo? Beba mzigo wako. Ila sio poa kabisa!
 
Back
Top Bottom