Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,305
Yaani ana ujauzito uliompa bado tu ni shemeji yako ?
Khaaa??wewe una roho mbaya sana
Acha umbeya na weweEeeheeeheee...nilipitwaga
Bila shaka we ni mwanamke,maana mwanaume haongei hivo..Mtoto ni matokeo Ya dhambi mlioifanya awali ya uzinzi kwa mtazamo wangu kwa ujasiri ule ule mliokuwa nao mkiwa mnfanya kwichikwichi kamtoeni huyo mtoto vivyo Ivyo,that kid is a disgrace
Pumbavu kbs uliomba ushauri kabla?
Mefanyaje Kua ni na wwAcha umbeya na wewe
Habari zenu wapendwa,
Hakika jana haikuwa siku nzuri kwangu,kama mnavojua nilishasema kwamba nina watoto watatu wa mama tofauti, kuna Travis, Sean na Moureen. Sasa iko hivi, ni kwa muda mrefu nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdogo wa mama Moureen, tumekuwa kwenye mahusiano ya siri sana na mkumbuke mama Moureen ndie yule niliyembikiri kisha baadae akanizalia mtoto na nishasema sitamuoa kwasababu ya mdomo na gubu lake, basi kuna siku mimi na mdogo wa mama Moureen tulikuwa tunachat Whatsapp.
Kwa bahati mbaya mama Moureen alikuja akaona zile conversations zote za mapenzi na ndipo akagundua ya kwamba natoka na mdogo ake, kwa kweli aliniuliza na aliumia sana na nilishindwa kujitetea wala kubisha zaidi tu ya kuomba msamaha, ila mahusiano na mdogo wake hayakuisha, tumeendelea kimyakimya na kwa siri sana.
Sasa jana mtoto kaniambia siku zake za period zimepitiliza, harafu anatapika na anachagua misosi, nikaogopa, tumeenda hospital flani ya binafsi kupima mimba kwa kweli ni kwamba huyu binti ni mjamzito yaani jana nzima kichwa kinanigonga balaa, sijui hata nifanye nini, maana sina raha kabisa na huyu binti anashinda analia kutwa kwao ila hajawaambia anacholia ni nini.
Naogopa itakuwa ni aibu kwenye familia yangu na kwa jamii pia kutoa naogopa mana sijawahi kumtoa yeyote yule na naogopa asije akafa ila pia ni dhambi, sielewi hata nifanye nini, nahisi kukonda siku mbili tu, kila nikiwaza mwili unashtuka maana hili jambo linaninyima amani sana.
Umavosema ulipitwa,kwani hiki ni kisa cha kufurahisha?Mefanyaje Kua ni na ww
Mkuu msaada wowote sihitaji kwa sasa.alishajifungua tangu 28 December..................kaka juvenile davis,...............nianze kwa kukupa pole ya hiyo mimba na pia kwa kichwa kuuma...................pole sana kaka...................nakushauri kwanza usi panic,..................huo ndiyo uanaume,....................fasta nenda Marie Stopes,tafuta daktari mpe issue atakusaidia...........................hakikisha kuwa una muandaa binti ki saikolojia kwa maana ya ushauri nasaha,...................hilo ni tatizo dogo kama utawahi na kushirikiana na huyo binti,...................................Marie Stopes wana msaada wa haraka na salama,..................................Usiogope mkuu,.............hili swala linawezekana,......................................ukihitaji msaada zaidi basi usisite kuwasiliana Pole sana
Yah kinafurahisha....@ the same tym kinasikitisha...nimepitwa coZ ckuona post wakati muafaka!!!Umavosema ulipitwa,kwani hiki ni kisa cha kufurahisha?
..ndugu tunakusitiri tu lakini wee ni mpumbav u can't *** ur shemeji alaf ukatuletea matatizo sisi huku,Men Clean there shit discreetly women ask Men to do their thinkin' sasa vividly sijui nani mwanamke btn me and u kwa haraka harakaBila shaka we ni mwanamke,maana mwanaume haongei hivo
hahah !!! Hiyo ndo inaitwa mshahara wa dhambi...Hatimae ya sirin sasa kweupeeeee.Habari zenu wapendwa,
Hakika jana haikuwa siku nzuri kwangu,kama mnavojua nilishasema kwamba nina watoto watatu wa mama tofauti, kuna Travis, Sean na Moureen. Sasa iko hivi, ni kwa muda mrefu nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdogo wa mama Moureen, tumekuwa kwenye mahusiano ya siri sana na mkumbuke mama Moureen ndie yule niliyembikiri kisha baadae akanizalia mtoto na nishasema sitamuoa kwasababu ya mdomo na gubu lake, basi kuna siku mimi na mdogo wa mama Moureen tulikuwa tunachat Whatsapp.
Kwa bahati mbaya mama Moureen alikuja akaona zile conversations zote za mapenzi na ndipo akagundua ya kwamba natoka na mdogo ake, kwa kweli aliniuliza na aliumia sana na nilishindwa kujitetea wala kubisha zaidi tu ya kuomba msamaha, ila mahusiano na mdogo wake hayakuisha, tumeendelea kimyakimya na kwa siri sana.
Sasa jana mtoto kaniambia siku zake za period zimepitiliza, harafu anatapika na anachagua misosi, nikaogopa, tumeenda hospital flani ya binafsi kupima mimba kwa kweli ni kwamba huyu binti ni mjamzito yaani jana nzima kichwa kinanigonga balaa, sijui hata nifanye nini, maana sina raha kabisa na huyu binti anashinda analia kutwa kwao ila hajawaambia anacholia ni nini.
Naogopa itakuwa ni aibu kwenye familia yangu na kwa jamii pia kutoa naogopa mana sijawahi kumtoa yeyote yule na naogopa asije akafa ila pia ni dhambi, sielewi hata nifanye nini, nahisi kukonda siku mbili tu, kila nikiwaza mwili unashtuka maana hili jambo linaninyima amani sana.
Nilishavuna mkuu,hakika neno lako lilikuwa na maana sana na kweli nilivunaUtavuna ulichopanda kuwa mpole
Njoo fasta PM nikuuzie dawa za kutoaHabari zenu wapendwa,