Tozi bhanaNahuyu asiowe tu anaweza kuwa na mdomo kama sister wake.
Nisingizie mm ila akitoka wa kike namuoaSikumaanisha kitu zaidi ya ngono
Itakuwa una matatizo ya uzazi mkuu,au huchengi??Watu kama nyie ni wa kupigwa mawe tu maana hamna namna watoto3 mama tofaut na bado umempachika shemeji yako, wengine hatuna hata wa kusingiziwa...ulaniwe
Asante kwa kumjibu,Alisema hana mke
Kinga inategemea na demu yupojeHivi ni kwa nini wanaume wa Dar hamtumii kinga mkuu?
Asante sana mkuu,jambo lisilokuhusu lazma uchukulie poa tu,,ila omba yasikukuteBinafsi naona storry zako zote za kutunga tu, yawezekana una saikologiko problem, unajaribu kutengeneza tukio lisilo kuwepo kujipa moyo, ila kama ni kweli basi tafuta bwana akuoe na hii itakuwa mwisho wa matatizo yako mana hutofanya haya tena.
Labda we ukapime akiliItakuwa una matatizo ya uzazi mkuu,au huchengi??
KalumakengeHabari zenu wapendwa,hakika jana haikuwa siku nzuri kwangu,kama mnavojua nilishasema kwamba nina watoto watatu wa mama tofauti,kuna TRAVIS,SEAN na MOUREEN.,sasa iko hivi,ni kwa muda mrefu nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdogo wa mama Moureen,tumekuwa kwenye mahusiano ya siri sana,na mkumbuke mama Moureen ndie yule niliyembikiri kisha baadae akanizalia mtoto na nishasema sitamuoa kwa sababu ya mdomo na gubu lake,,basi kuna siku mimi na mdogo wa mama Moureen tulikuwa tunachat Whatsapp.kwa bahati mbaya mama Moureen alikuja akaona zile conversations zote za mapenzi na ndipo akagundua ya kwamba natoka na mdogo ake,kwa kweli aliniuliza na aliumia sana,na nilishindwa kujitetea wala kubisha zaidi tu ya kuomba msamaha,ila mahusiano na mdogo ake hayakuisha,tumeendelea kimyakimya na kwa siri sana,sasa jana mtoto kaniambia siku zake za period zimepitiliza ,harafu anatapika na anachagua misosi,nikaogopa,tumeenda hospital flani ya binafsi kupima mimba kwa kweli ni kwamba huyu binti ni mjamzito.yaani jana nzima kichwa kinanigonga balaaa,sijui hata nifanye nini,maana sina raha kabisa.na huyu binti anashinda analia kutwa kwao ila hajawaambia anacholia ni nini?? Naogopa itakuwa ni aibu kwenye familia yangu na kwa jamii pia.kutoa naogopa mana sijawahi kumtoa yeyote yule na naogopa asije akafa ila pia ni dhambi.sielewi hata nifanye nini,nahisi kukonda siku mbili tu,kila nikiwaza mwili unashtuka maana hili jambo linaninyima amani sana
Meza diclopar kwanza kichwa kipone, mengine yatafuata