Serious kichwa kinaniuma, shemeji yangu ana mimba yangu

Acha kuchangamsha genge kwa story zako za acapulco...hebu lete issue za maana tujadili...maana kutoa hutaki kulea hutaki sasa unatafuta wa kumsingizia hiyo mimba au...msingizie mkeo basi
 
Habari zenu wapendwa,hakika jana haikuwa siku nzuri kwangu,kama mnavojua nilishasema kwamba nina watoto watatu wa mama tofauti,kuna TRAVIS,SEAN na MOUREEN.,sasa iko hivi,ni kwa muda mrefu nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdogo wa mama Moureen,tumekuwa kwenye mahusiano ya siri sana,na mkumbuke mama Moureen ndie yule niliyembikiri kisha baadae akanizalia mtoto na nishasema sitamuoa kwa sababu ya mdomo na gubu lake,,basi kuna siku mimi na mdogo wa mama Moureen tulikuwa tunachat Whatsapp.kwa bahati mbaya mama Moureen alikuja akaona zile conversations zote za mapenzi na ndipo akagundua ya kwamba natoka na mdogo ake,kwa kweli aliniuliza na aliumia sana,na nilishindwa kujitetea wala kubisha zaidi tu ya kuomba msamaha,ila mahusiano na mdogo ake hayakuisha,tumeendelea kimyakimya na kwa siri sana,sasa jana mtoto kaniambia siku zake za period zimepitiliza ,harafu anatapika na anachagua misosi,nikaogopa,tumeenda hospital flani ya binafsi kupima mimba kwa kweli ni kwamba huyu binti ni mjamzito.yaani jana nzima kichwa kinanigonga balaaa,sijui hata nifanye nini,maana sina raha kabisa.na huyu binti anashinda analia kutwa kwao ila hajawaambia anacholia ni nini?? Naogopa itakuwa ni aibu kwenye familia yangu na kwa jamii pia.kutoa naogopa mana sijawahi kumtoa yeyote yule na naogopa asije akafa ila pia ni dhambi.sielewi hata nifanye nini,nahisi kukonda siku mbili tu,kila nikiwaza mwili unashtuka maana hili jambo linaninyima amani sana
Wakat unaanza haya mahusiano ulimaanisha nn?
 
Huyu jamaa kila siku thread mpya ya mahusiano anaomba yeye yaan kwa kutunga uko vzurr
Team shingongo ama nene
 
Habari zenu wapendwa,hakika jana haikuwa siku nzuri kwangu,kama mnavojua nilishasema kwamba nina watoto watatu wa mama tofauti,kuna TRAVIS,SEAN na MOUREEN.,sasa iko hivi,ni kwa muda mrefu nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdogo wa mama Moureen,tumekuwa kwenye mahusiano ya siri sana,na mkumbuke mama Moureen ndie yule niliyembikiri kisha baadae akanizalia mtoto na nishasema sitamuoa kwa sababu ya mdomo na gubu lake,,basi kuna siku mimi na mdogo wa mama Moureen tulikuwa tunachat Whatsapp.kwa bahati mbaya mama Moureen alikuja akaona zile conversations zote za mapenzi na ndipo akagundua ya kwamba natoka na mdogo ake,kwa kweli aliniuliza na aliumia sana,na nilishindwa kujitetea wala kubisha zaidi tu ya kuomba msamaha,ila mahusiano na mdogo ake hayakuisha,tumeendelea kimyakimya na kwa siri sana,sasa jana mtoto kaniambia siku zake za period zimepitiliza ,harafu anatapika na anachagua misosi,nikaogopa,tumeenda hospital flani ya binafsi kupima mimba kwa kweli ni kwamba huyu binti ni mjamzito.yaani jana nzima kichwa kinanigonga balaaa,sijui hata nifanye nini,maana sina raha kabisa.na huyu binti anashinda analia kutwa kwao ila hajawaambia anacholia ni nini?? Naogopa itakuwa ni aibu kwenye familia yangu na kwa jamii pia.kutoa naogopa mana sijawahi kumtoa yeyote yule na naogopa asije akafa ila pia ni dhambi.sielewi hata nifanye nini,nahisi kukonda siku mbili tu,kila nikiwaza mwili unashtuka maana hili jambo linaninyima amani sana
Usiitoe hiyo mimba mkuu, inawezekana ni yangu maana hata mimi huwaga nammega, muulize vizuri tu!!!
 
Back
Top Bottom