Serious discussion: Kuna madhara yapi yatatokea endapo ndugu wa damu watazaa pamoja?

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,208
1,755
Najua kuna tamaduni na pia dini ama imani zinapinga, ila siko hapa kuwa upande wa utandawazi na nitendelea kufuata tamaduni na dini lakini sijui sababu. Nachotaka ni maarifa kutoka kwa wakongwe

Je, nani alishashuhudia haya, ilikuwaje?

Mshana Jr na wengine tusaidie.
 
Mkuu usije fanya watu waanze gegeda Dada zao bure...

By the way Kuna madhara
 
Kuna ile hali ya kuikwepa damu yako isipatwe na laana za kikoo


Mfano km kila uzao lazima taahira apatikane kutokana na makes I ya wazee wetu wakaapiana kuwa kutakuwa na mataahira mpaka kizazi cha ko cha 5 .

Sasa km mnazakiana ntakuwa mnazaliana laana bora utoke nje uchanganye damu ingine mtoe watoto walau wataepukika.


Huo ni mfano
 
Disorders From Inbreeding
The risk of a child developing an autosomal recessive disorder increases with inbreeding. Carriers of a recessive disorder may be unaware they possess a mutated gene because two copies of a recessive allele are needed for gene expression. On the other hand, autosomal dominant disorders are seen in the parents but might be eliminated through inbreeding if the parents carry the normal gene. Examples of defects seen with inbreeding include:

Reduced fertility
Reduced birth rate
Higher infant and child mortality
Smaller adult size
Reduced immune function
Increased risk of cardiovascular disease
Increased facial asymmetry
Increased risk of genetic disorders
Examples of specific genetic disorders associated with inbreeding include schizophrenia, limb malformation, blindness, congenital heart disease, and neonatal diabetes.
 
Jibu,hakuna madhara,mnataka kuleta longo longo zenu hapa.
Mwana Kama umekolea kwa ndugu,we sababisha tu,Haina noma kabisa mwana.
 
Watapata ‘Inbreeding depression’, uwezekano wa kupata ‘homogenous chromosomes’ za magonjwa hatari ya kurithi kama ‘seli mundu’, ‘Kisukari’ , nk.
 
Madhara ya kibiologia ndo sababu ya kukatazwa ndugu wa damu tusizae.
Iwapo itatokea ndg wa damu wakazaa mtoto/watoto lazima mmoja wapo au wote wawe na mapungufu ya mfumo wa mwili tofauti na watu wasio ndg wanapozaa.
 
Inategemea na undugu mkuu kipindi nipo kwenye mahusiano na huyu manka wangu wao ni shirima sisi ni matemu sasa kipindi tupo wote chuga fununu zikaongelewa kwamba watu hawa hawawezi kuoana sababu ukipekenyua mafile ya huko nyuma babu na mababu kuna waliohama from matemu wakaenda kwa shirima ilikuwa noma sana kikao kikawekwa nikawawekea ngumu wazee kwamba liwake jua inyeshe mvua naoa huyu mtoto wa shirima kiburi nilikuwa nacho sababu pesa nilikuwa nayo ya ukweli na mtoto sikumchelewesha kitumbo kilikuwa tayari ndiii nakumbuka mzee wake aliniambia pambania safari uliyoanzisha yeye hana shida yoyote yaliyotokea huko nyuma yalishakufa ya mababu tuwaachie mababu hakuna undugu wa maana hapo nilitoa mahari chap chap mambo mengine yakaendelea mungu akatubariki mapacha wazuri sana wako na afya njema hakuna shida yoyote
 
Back
Top Bottom