Serikali yazidisha kibano kwa Acacia, NEMC yasimamisha shughuli za mgodi, Acacia yasalimu amri kwa kusitisha kesi zote, yasubiria PUSU ya Barrick

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,468
113,583
Wanabodi,

Wakati inajitahidi kujikoa kwa Barrick ili isinunuliwe kwa bei ya kutupa siku ya Ijumaa hii ambayo ndio deadline ya mwisho ya PUSU ya Barrick kutangaza dau, masikini Acacia, mambo yake yazidi kuwa magumu baada ya Baraza la Usimamizi wa Mazingira, NEMC, kusitisha shughuli zote za mgodi wa North Mara, kwa hoja za kimazingira. Yaani ng'ombe yako mnadani, unajaribu kumnenepesha ili apate bei nzuri, mara anateguka mguu!. Na kwa wasiojua, kati ya migodi yote mitatu ya Acacia, North Mara ndio cash cow wake, ng'ombe wa maziwa akichinjwa, nyumbani ni mwendo wa chai ya rangi.

Hivyo sasa, ili Acacia kujarabu kujinasua, isinunuliwe kwa bei ya kutupa na Barrick, leo imeamua kusalimu amri kwa serikali, yaomba kusitisha mashauri yote kwenye mahakama za usuluhishi, iwapo serikali ya Tanzania itakubali kuendelea na mazungumzo na Barrick, ili kujaribu kujikoa na PUSU ya mwisho kutoka Barrick ambayo itarajajiwa kutangazwa keshokutwa siku ya Ijumaa ambayo ndio itaashiria kifo rasmi cha Acacia.

Jisomee mwenyewe hapa.
Kwa msiojua PUSU ni "Put Up or Shut Up"
  1. Serikali iliisha iandikia migodi yote mitatu ya Acacia kuwa haiitambui Acacia.
  2. Barrick akaamua kuingilia kati kwa kutoa offer ya kuinunua Acacia kwa hostile takeover kwa kutoa dau dogo kwa sababu Acacia haina thamani kivile na too risky. Wakikubali wafe na kupokea kidogodogo, wakigoma wafe kwa kujinyonga wenyewe mazima kupitia kitu kinachoitwa PUSU yaani "Put Up or Shut Up"
  3. Acacia akagomea offer kiduchu ya Barrick kutoa extention time Barrick ajifikirie kuongeza dau, ambayo hutolewa kwa siku kumi kumi toka deadline ya PUSU.
  4. Acacia akaanza kujitutumua jinsi alivyo na thamani, deadline ya kwanza ya PUSU ikafika Barrick kagoma kuongeza hata senti moja.
  5. Acacia akaongeza muda na kujieleza alivyo na thamani, Barrick bado akagoma, PUSU deadline ya pili ikapita, muda ukaongezwa.
  6. Acacia akatoa financial statement yake na projections za faida kubwa, Barrick akagoma na kusema nothing new. PUSU dealine ya tatu ikaongezwa for 10 days kwa mara ya tatu ambayo sasa ni keshokutwa tarehe 19. hizi PUSU mwisho ni tatu, hii ya keshokutwa ndio ya mwisho.
  7. Sasa leo huyu ng'ombe yuko mnadani, zinakuja taarifa ngombe wetu ana tatizo la maini!. Atauzika kweli kwenye mnada wa keshokutwa?. Barrick ataongeza dau au anaweza kulipunguza?.
  8. Tangazo la leo ni Acacia kutaka kuihonga serikali yetu hongo ya kufuta mashauri ili serikali ikubali mazungumzo na Barrick yaendelee kubla ya PUSU ya Ijumaa hii.
  9. Kama Acacia imekataliwa, ni imekataliwa!, inatoa conditions kwa nani?!.
  10. Watu tunasubiria hiyo PUSU ya keshokutwa hii biashara iishe.
P.
 
"Acacia announces that its local Tanzanian operating subsidiaries, Bulyanhulu Gold Mine Ltd and Pangea Minerals Ltd, will immediately seek a stay of their international arbitration with the Government of Tanzania (“GoT”). If the GoT agrees to the stay, Acacia would expect the arbitration hearing to be postponed to provide time for the GoT to complete its settlement discussions with Barrick Gold Corp (“Barrick”). Acacia will continue to support those discussions and remains ready and willing to engage directly with the GoT.."

Pascal nilivyoelewa mimi ni kuwa watafuta maramoja kilichopo kwenye International arbitration kama serikali itakubali mazungumzo nao lakini pia wanaweza kusubiri hayo mazungumzo mpaka pale GOT itakapofunga mjadala na Barrick..
 
Nimeelewa hivyo,nadhani huyu Mayalla ana interest kwenye hili mpaka amekuwa anafuatilia sana na zaidi ya hapo tunaona upotoshaji wa makusudi!
 
Mambo yazidi kuwa magumu kwa Acacia, Nenc yatoa kibano cha amri ya kusitisha uchimbaji wa mgodi wake kwa hoja za kimazingira. Acacia yasalimu amri kwa serikali, yaomba kusitisha mashauri yote kwenye mahakama za usuluhishi, kutoa nafasi kwa PUSU ya Barrick kutangazwa.

Jisomee mwenyewe hapa.
P.
Magu akishinda hili tuandamane mpaka chato kwa baiskel nadhani siku saba zinatosha kufika huko. Maana hawa wazungu wanaweza kutunguka tukalamba sukali guru
 
17 Jul 2019

Acacia announces that its local Tanzanian operating subsidiaries, Bulyanhulu Gold Mine Ltd and Pangea Minerals Ltd, will immediately seek a stay of their international arbitration with the Government of Tanzania (“GoT”). If the GoT agrees to the stay, Acacia would expect the arbitration hearing to be postponed to provide time for the GoT to complete its settlement discussions with Barrick Gold Corp (“Barrick”). Acacia will continue to support those discussions and remains ready and willing to engage directly with the GoT.

NEMC Prohibition Notice

Acacia also announces that the Tanzanian National Environment Management Council (“NEMC”) has issued its North Mara mine with a Prohibition Notice (the “Notice”) which orders the North Mara mine to stop use of its TSF by 6.00am local time Saturday 20 July 2019. NEMC cites the North Mara mine’s failure to contain and prevent seepage from the TSF as grounds for its issuance of the Notice. The Notice states that it shall remain effective until such time that NEMC is satisfied that the North Mara mine has taken measures to contain seepage from the TSF.

Acacia is immediately reaching out to NEMC and to the GoT to seek clarification on the Notice received yesterday, including to request copies of any investigation reports or data upon which the Notice is based.

Acacia’s North Mara mine was issued with an Environmental Protection Order (“EPO”) and fine in May 2019 for alleged deficiencies at the TSF. However, the North Mara mine has never received any supporting reports, findings or technical data in relation to these allegations.

As previously disclosed on 8 March 2019, the North Mara mine’s technical team has been working constructively and collaboratively with the GoT in order to address the GoT’s concerns regarding alleged breaches of various environmental regulations and alleged discharges from the mine. The North Mara mine undertook to manage all seepage through the use of additional pumps and construction of other containment facilities to return any seepage to the TSF and ensure it is confined to the mine site. All seepage is and will be contained on the site, does not flow into the surrounding environment or present a risk of contamination to any public water source.

In January 2019, the GoT issued a directive to the North Mara mine to construct a new TSF. The mine commenced planning and design for a new TSF, and has been working with the GoT to progress the construction of a new TSF to support its future mine production plans.

Acacia will provide further updates as required.

============= lakini mbona hawako wazi kama wako tayari kuuza share zote kwa Barrick?
 
Nimeelewa hivyo,nadhani huyu Mayalla ana interest kwenye hili mpaka amekuwa anafuatilia sana na zaidi ya hapo tunaona upotoshaji wa makusudi!
Mayalla nia yake ni kuomba kila kukicha hao mabeberu watulipe matrilioni yetu alafu aonekane yeye ndiye alilivalia njuga ili mkuu ampatie uteuzi.
 
Mambo yazidi kuwa magumu kwa Acacia, Nenc yatoa kibano cha amri ya kusitisha uchimbaji wa mgodi wake kwa hoja za kimazingira. Acacia yasalimu amri kwa serikali, yaomba kusitisha mashauri yote kwenye mahakama za usuluhishi, kutoa nafasi kwa PUSU ya Barrick kutangazwa.

Jisomee mwenyewe hapa.
P.
Pascal kuna mambo matatu kuhusiana na bandiko lako, aidha hukuelewa kilichoandikwa au umeelewa lkn unapotosha au umeandika kufurahisha moyo wako unachotamani kiwe.
 
Mambo yazidi kuwa magumu kwa Acacia, Nenc yatoa kibano cha amri ya kusitisha uchimbaji wa mgodi wake kwa hoja za kimazingira. Acacia yasalimu amri kwa serikali, yaomba kusitisha mashauri yote kwenye mahakama za usuluhishi, kutoa nafasi kwa PUSU ya Barrick kutangazwa.

Jisomee mwenyewe hapa.
P.
Ulichoandika na kilichopo tofauti. Halafu wewe ndiyo huwa unatamba humu kuwa umesomea sheria! Dah!

"If such are the priests, God bless the congregation".
 
Back
Top Bottom