Serikali yawadanganya wahisani kuhusu bajeti!

Serikali yawadanganya wahisani kuhusu bajeti!

nacheka lkn si kwa uzuri lakini alisema Dr. kuwa kuichagua CCM tunachagua maafa
 
Dr. Slaa alisema.......kuchagua sisiem ni kuchagua maafa, watu wakabisha. Tutaona na kusikia mengi mno mpaka mioyo yetu itakufa ganzi. Eeee Mungu tusaidie.
Kiongozi bora moyo wako bado uko hai!
 
MAMMAMIA, Najiuliza hilo la wahisani, si wanafuatilia misaada inavotumika, na pia si huwa wanatoa masharti misaada yao itumikaje?
How comes they tolerate this misuse and abuse of the financial aids?
I will appriciate if someone can put someone can enlighten me on this!

The donors have played their part now its up to us (Tanzanian Govt) to do our part. We need to be more accountable for the funds we receive. Yani pesa tunapewa alafu tena tuwalaumu waliotupa pesa kwa nini hawakuakikisha tumezitumia vizuri...lol

Donors wameonyesha hawajafurahishwa na kitendo cha kudanganywa, sasa wao hawana mamlaka ya kumuwajibisha waziri, hilo ni jukumu la serikali yetu... Yani tunataka kuwalaumu tena donors dah kazi kweli kweli
 
Kwakuwa inanisumbua kujua ni mahali gani nanufaika moja kwa moja na Bajeti ya Serikali basi ningekuwa karibu na nchi wahisani ninge waomba wajitoe kutusaidia waone wenyewe tutafanyaje? maana MUHISANI ANAENDESHA ESCUDO WKT SIS TUNAO SAIDIWA V8, HAWA WAHISANI NAO SIJU WEHU???? MI NAOMBA WAJITOE TU, kwanza ni kiangaliaga salary slip yangu na pesa inayokatwa natamani kulia nikiona hiyo migari, wkt mi nachapa lapa huku.........! HAWA!!!!!!!!!?????? 4w***££$$$"""" @@~~##~~ MGH
 
Kwa hili Zitto tuko pamoja ila tatizo lako huwa hukawii kutugeuka ukionjeshwa kitu kidogo.

Habari zilizozagaa mitaani ni kwamba Mbunge Zitto anamiliki gari kla bei mbaya sana aina ya HAMMER. Kama ni kweli anaweza kuwaeleza wapiga kura maskini wa Kigoma waliompa ubunge amepata wapi fedha za kuweza kununua gari la aina hiyo wakati wapigakura wake wanakula mlo mmoja kutwa wa dagaa chukuchuku na dona?
 
Habari zilizozagaa mitaani ni kwamba Mbunge Zitto anamiliki gari kla bei mbaya sana aina ya HAMMER. Kama ni kweli anaweza kuwaeleza wapiga kura maskini wa Kigoma waliompa ubunge amepata wapi fedha za kuweza kununua gari la aina hiyo wakati wapigakura wake wanakula mlo mmoja kutwa wa dagaa chukuchuku na dona?
Hatutaki umbea humu kama huna cha kuchangia unasoma mawazo ya wengine, gari linakuhusu nini kama unapenda umasikini hiyo ni shauri yako.
 
Waziri Mustafa mkulo amekiri kuwa yapo mapungufu katika budget.
Eti aliyopeleka kwa wahisani ilikuwa preliminary budget
Wizi mtupu

Sorce TBC 1
 
Waziri Mustafa mkulo amekiri kuwa yapo mapungufu katika budget.
Eti aliyopeleka kwa wahisani ilikuwa preliminary budget
Wizi mtupu

Sorce TBC 1

Kwanini wapeleke preliminary budget? hawakujua kuwa wanapaswa kupeleka bajeti ya aina gani kwa wafadhili? Miaka iliyopita walikuwa wanafanyaje?

Unajua tabia ya kuchakachua ukiizoea unashindwa kujua uchakachue nini,lini na kwa nani. Kwa tabia hii ya kuchakachua kwanini tusiamini kuwa matokeo kura zilizotangazwa katika uchaguzi wa 31 Oktoba 2010 yalikuwa preliminary results?
 
NANI WA KUMFUNGA PAKA KENGELEEEEEEEEEEEEEEEEE????//

Alafu wabunge wa CCM, watakaa kimya tu.... maana walishawekewa ZENGWE KUWA TUBISHANE KWENYE KIIIIIIIILA KITU, LAKINI SIYO KWENYE BAJETI.............

Ila NANI ndani ya CCM, asimame akiri kuwa KIKWETE ameonyesha udhaifu katika uongozi wake, japo tumuone jasiri????????

Yaani wooote mliopo ndani ya CCM, hamna kama KOLIMBA??? Kuongea kweli ..........

inasikitisha sana....... KURA YANGU HAMUIPAI
 
Kutokana na dead lines za wahisani, ilibidi iwe hivyo. Haya ni mambo ya kawaida na ni understandable. Hata wangepewa hiyo iliyotangazwa bungeni, still kuna uwezekano wa kuwa na budget tofauti, kwani budjets can be amended. Sio msahafu ambao haubadiliki.
 
wewe Dar es Salama umelogwa nininiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii bul................. t umetumwa jamii forum kutetea maovu utanshindwa -ije mvua lije jua hatuondoki hatuachi kusema hii ni nguvu ya ummmmmmmmmmmmmma
 
Dar es salaam usitetee ujinga!amendment ya kiasi gani inaruhusiwa?unajua kwenye tarakimu ukiongeza 0 umebadili maana kabisa?hembu fikiri 7.8 trilion za kuliwa serikalini just 3.2 ndio za maendeleo na maendeleo yenyewe wanakula wahindi ktk tenda!umemsikia ngeleja anasema tutamkumbuka jk kwa kumaliza tatizo la umeme huku jk akiwa uswisi anasema nchi za afrika haziwezi kumaliza tatizo la umeme kwa kuwa ni masikini!hapo kama una akili unatambua nini?
 
Kutokana na dead lines za wahisani, ilibidi iwe hivyo. Haya ni mambo ya kawaida na ni understandable. Hata wangepewa hiyo iliyotangazwa bungeni, still kuna uwezekano wa kuwa na budget tofauti, kwani budjets can be amended. Sio msahafu ambao haubadiliki.

Umesema kweli . Lakini abda wahisani wameshtuka tofuti zilizopo ni kubwa mno sio za ki -ammendment. Nadani wahisani wanajua kuwa bajeti inaweza kuwa ammended and reviewed. Ingekuwa vizuri tuijue tofauti hiyo wanayosema wahisani tulinganishe na bejeti iliyopitishwa.

Vile Vile tukijua hao wahisani walipewa lini hiyo bajeti inaweza kuondoa utata kama makosa ni ya mkusudi kupotosha au ni bahati mbaya
 
Dar Es Salaam = Malaria Sugu = hermaphrodite mind
 
Kutokana na dead lines za wahisani, ilibidi iwe hivyo. Haya ni mambo ya kawaida na ni understandable. Hata wangepewa hiyo iliyotangazwa bungeni, still kuna uwezekano wa kuwa na budget tofauti, kwani budjets can be amended. Sio msahafu ambao haubadiliki.

kwanini hizo amendments hazikupelekwa kwa wafadhili? Leo ndiyo serikali inajieleza sababu ya kuwasilisha bajeti tofauti kwa wafadhili na ile ya bungeni? wakati wanawasilisha bungeni kwanini hawakuwajulisha wafadhili kuhusu tofauti hizo?

unataka kutuambia kuwa hata leo bado wanafanya amendments? nadhani Dar es Salaam unachotaka kutuambia kinakubalika kwa wendawazimu lakini siyo watu walio makini na kazi wanayofanya. Fikiria vizuri kitu unachotuambia. Muda wa kuanda bajeti ulifahamika, watu wa kuandaa waliafamika na muda wa kuwapelekea wafadhili ulifahamika. Kama kuna tatizo lililojitokeza na kama sababu zinakubalika basi afadhali serikali ingelichelewa kutuma makadirio ya bajeti kuliko kupeleka upuuzi.

Tanzania tuna desturi ya kuweka visingizio visivyo na maana. Kumbuka rais aliwahi kusaini sheria ya gharamna ya uchaguzi mwaka huo ambayo ilikuwa imepachikwa vifungu ambavyo havikupitishwa bungeni. unataka kutuambia kuwa kulikuwa na haraka kutika kuwahi dead line katika suala la kuongeza vifungu vya sheria iliyopitishwa bungeni zaidi ya ushenzi wa mazoea ya kuchakachua?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom