Serikali yawadanganya wahisani kuhusu bajeti!

MKULO kwa hili anastahili kuwajibika....

Nani wa kumuwajibisha mtu ndani ya CCM??????? Ameshindwa kuwajibishwa HOSEA, ije mkulo????? Kanyaga twende JK, kanyaga twende.... Najua ulishatuambia tukukumbuke kwa KUTUTOA HAPA na KUTUFIKISHA PALE........
 
Kutokana na dead lines za wahisani, ilibidi iwe hivyo. Haya ni mambo ya kawaida na ni understandable. Hata wangepewa hiyo iliyotangazwa bungeni, still kuna uwezekano wa kuwa na budget tofauti, kwani budjets can be amended. Sio msahafu ambao haubadiliki.

We.... ivi unainterest gani KIASI CHA KUONA KILA KINACHOFANYWA na serikali ni sawa???

Kuna siku umewahi kukosoa hata mara moja??/

Kama huwa INABADILIKA , kama unavyodai..... MBONA MUMEKAA KIMYA hamkupeleka hiyo iliyofanyiwa ammendment , Mpaka jamaa wanakuja kuwaambia hapa kwenu???

Kama kweli una hoja, tuthibitishie NI NCHI GANI, imefanya hayo kwa mfumo kama huu wa Tanzania?? YAANI kupeleka hiyo preliminary BUDGET na kwenda kwenye bunge KUIDHNISHA NYINGINE, ALAFU WAKAA KIMYA!!!!!!!!!

Thibitisha, kiazi wewe....
 
Back
Top Bottom