evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,335
- Thread starter
- #61
asante kwa ushauri mkuu,...Deni la nchi huwa haliishi, tunalipa deni ili tupate sifa ya kukopesheka. Hizo ndizo principles za financing. Tuache siasa katika mambo ya kitaalam.
Tukumbuke karibu nchi zote duniani zina madeni.
kwanini lisiishe linafaida gani????
na linapozidi kukua huoni hasara zake???