Serikali yasitisha mikopo kwa watumishi wa umma kwenye mabenki, uhakiki waanza upya November 2017

nkanga chief

JF-Expert Member
May 31, 2016
2,084
1,620
cfb6c88737686654ff16c39eff3122c1.jpg
83107d78729604d9772ae3e25b5ece90.jpg
 
Huyu mtu hafai kabisa. Yaani kila siku utamsikia "Tunafanya hivi, ili kusudi kuwasaidia nyinyi wanyonge." Sasa unakaa unajiuliza hao wanyonge ni akina nani, kama watumishi wameendelea kukosa nyongeza ya mishahara, wafanyabiashara wanakamuliwa kodi kubwa na wakulima wanauza mbaazi kwa kg 1 shilingi 50!? Ni nani anasaidiwa na huyu dikteta? Mbona wananchi wote kwa matabaka yao wanaumizwa tu. Huyu ilibidi akae kwa miaka miwili tu na aondoke. Ni mtu anayefurahia kuona baadhi ya makundi ya raia wanateseka. Jamaa ni "the most aggressive"
 
Wapi imeandikwa kuwa watumishi hawaruhusiwi kukopa kwenye mabenki?
Yaani CCM mmezoea kuambiwa kila kitu na nyie mgeuke kasuku kwa kurudiaruidia. Ili mtu akopeshwe ni lazima awe na dhamana ya kazini kwake ambayo ni Slary Slip na barua toka kwa muajiri wake.

Hivi sasa Mabenki hayana hakika kama mfanyakazi anayekwenda kukopa kwao kama ni halali ama ni "Hewa". Ili kuzuia kupata hasara kwa kumkopesha mtu ambaye labda si mfanyakazi halali wa serikali, mabenki yamesimamisha kuwakopesha wafanyakazi wa serikali mpaka hapo uhakiki utakapokamilika!
 
Time will tell the most devastating tale of our country's history..I pray to God that I may be a witness but if I don't let my soul be used as a sacrifice and agent of truth,,,
"We don't have to live many years as normal people,but few years that mankind will talk about for a 1000 years-Achilles"
 
Back
Top Bottom