Serikali yashindwa kusaini mradi wa LNG kwa miezi 9 sasa bila sababu. Je tuendelee kumlaumu Hayati Magufuli?

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,403
5,714
Wadau kama link inavyosema hapo chini. Nini tatizo?

===

Tanzania is delaying key agreements needed to realize a $42 billion liquefied natural gas plant, slowing a project that developers Equinor ASA and Shell Plc warn has limited time to become a reality before demand for fossil fuels begins to wane.

Plans to connect offshore gas discoveries to feed an LNG export terminal on the East African nation’s coast have been in the works for a decade. The development appeared to gain momentum last year when Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan expressed her support and negotiations were concluded over the host-government agreement — which outlines commercial legal and fiscal terms — and an amended production-sharing deal with the project consortium.

Hydrocarbons zimewatoa mashariki ya kati,utulivu unatakiwa ili tutoboe, mabeberu ni washenzi sana
 
Wadau kama link inavyosema hapo chini. Nini tatizo?

===

Tanzania is delaying key agreements needed to realize a $42 billion liquefied natural gas plant, slowing a project that developers Equinor ASA and Shell Plc warn has limited time to become a reality before demand for fossil fuels begins to wane.

Plans to connect offshore gas discoveries to feed an LNG export terminal on the East African nation’s coast have been in the works for a decade. The development appeared to gain momentum last year when Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan expressed her support and negotiations were concluded over the host-government agreement — which outlines commercial legal and fiscal terms — and an amended production-sharing deal with the project consortium.

Huenda wamegundua madudu ya Januari kipara. Siamini chini ya kipara ungeweza kua na mkataba mzuri wa kunufaisha taifa. Wazalendo huenda bila shaka wamepitia na kugundua mitego ambapo wawekezaji ndio wangefaidi peke yao tu huku kama taifa tukitoka kapa.Tayari walishatupiga mikataba ya kuchimba hiyo gesi nchini ni kama sio mali yetu. Lakini kwa mtu mzalendo tunaweza pindua meza kwani gesi iko nchini mwetu. Hii ni leverage muhimu kabisa sema vigogo wapenda dili watajifanya hawaoni. Binafsi namsihi Samia asikubali kuingia mkataba hatupati manufaa hamsi kwa hamsini. Kama mwalimu alivyosema mali asili chini ya ardhi yetu haziozi.Tusitishike eti gesi si muda mrefu haitakua mali.
 
Wanasubiri wathibitishe kama gesi iliyoko Zanzibar ni commercially viable waingie mkataba na kuuza hiyo kwanza
 
Back
Top Bottom