Mkuu poleni sana na rafiki zako.Wakati wa Mkapa tarehe 25 ya mwezi mishahara ilikuwa tayari, December, tarehe 20 mishahara ilikuwa imeshaingia watu wanapata moyo wa kazi. Huwezi amini hadi leo mishahara ya wengi wa wafanyakazi wa umma haijaingia. Mimi si mfanyakazi wa umma ila rafiki zangu wengi wanalia njaa. Ukiona serikali imeshindwa kulipa mshahara ujue imefika mwisho.
Wakati wa Mkapa tarehe 25 ya mwezi mishahara ilikuwa tayari, December, tarehe 20 mishahara ilikuwa imeshaingia watu wanapata moyo wa kazi. Huwezi amini hadi leo mishahara ya wengi wa wafanyakazi wa umma haijaingia. Mimi si mfanyakazi wa umma ila rafiki zangu wengi wanalia njaa. Ukiona serikali imeshindwa kulipa mshahara ujue imefika mwisho.
Acha wasilipwe tu, wafanyakazi wa serikali hii wanakera sana kwa rushwa.
wasilipwe wafanyakazi wa nchi hii sijui wanachokifanya zaidi ya ngono zembe maofisini, watumishi wakulipwa nchii hii ni mwaalimu wa shule ya msingi na sekondari pamoja na askari magereza, hao wengine hawastahili chochote ni mzigo kwa taifa.
Sasa nimeanza kufumbuka macho kumbe ndiyo maana TISS hawakaguliwi hesabu zao? kumbe ndiyo maana Mkaguzi wa ndani wa pale magogoni alipostaafu tu akafa????Pesa hakuna, zimetumika na kuliwa na akina Machange, Shonza, Mtela n.k kupitia kwa Zitto ili kuiua CDM.
Ritz, Simiyu Yetu, Faiza Foxy, Kitambiheshima njoo mjibu huku kwa nini serikali imeshindwa kulipa watumishi mishahara.
Tiba
Japo na mimi ni mfanyakazi wa serikali na sijapata mshahara hadi leo, lakini wakati mwingine nafikiri wafanyakazi wa serikali wa Tanzania bora tu wacheleweshewe mishahara tu. Maana hawa watu kwa kujipendekeza CCM, utafikiri wao wanapata neema zaidi kuliko wengine. Na ukitaka ushahidi wa hili angalia hali ya upinzani mkoa wa Dar es salaam ambako ndiko kuna wafanyakazi wengi zaidi. Yaani wafanyakazi wa nchi hii ni mzigo usiobebeka kwa nchi yetu. Na huwa nadhani kwamba kuwa na hela ndiyo kunawapa kiburi. Bora tu waendelee tu kucheleweshewa mishahara iili hali zao zizidi kuwa ngumu na wakome kuipigia kura CCM.
Acha wasilipwe tu, wafanyakazi wa serikali hii wanakera sana kwa rushwa.