Serikali Yashindwa Kulipa Mishahara

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,545
550
Wakati wa Mkapa tarehe 25 ya mwezi mishahara ilikuwa tayari, December, tarehe 20 mishahara ilikuwa imeshaingia watu wanapata moyo wa kazi. Huwezi amini hadi leo mishahara ya wengi wa wafanyakazi wa umma haijaingia. Mimi si mfanyakazi wa umma ila rafiki zangu wengi wanalia njaa. Ukiona serikali imeshindwa kulipa mshahara ujue imefika mwisho.
 
jamaa yangu kwenye system yupo ktk payroll hayupo......kakosa pay na anajibiwa ovyo
 
!
!
huku kweyu watu huwa wanawakopesha hao watumishi wa umma kwa riba, na makubaliano huwa yanakuwa mwisho wa mwezi sasa mwezi huu duh!yaani madeni yamedouble kama ulikopa laki moja na kutakiwa kulipa laki moja na arubaini, basi kwa sasa kwa sababu umezidisha muda wa kulipa inakuwa na themanini
 
Wakati wa Mkapa tarehe 25 ya mwezi mishahara ilikuwa tayari, December, tarehe 20 mishahara ilikuwa imeshaingia watu wanapata moyo wa kazi. Huwezi amini hadi leo mishahara ya wengi wa wafanyakazi wa umma haijaingia. Mimi si mfanyakazi wa umma ila rafiki zangu wengi wanalia njaa. Ukiona serikali imeshindwa kulipa mshahara ujue imefika mwisho.
Mkuu poleni sana na rafiki zako.
Ila kiukweli sisi klama serikali hatujashindwa kuwalipa isipokuwa tunafanya marekebisho kidogo ili wafanyakazi wetu wapate neema,wambie hao jamaa zako wawe na subra maana tumeamua kuwaongezea mshahara kwa asilimia 85% ili kukabiliana na hawa wahuni 'CHADOMO'
Cc Baba V
 
Last edited by a moderator:
Pesa zote si amepewa Zitto!? na anakugawia kama utakiri kuichukia CHADEMA!Mtafuteni!
 
wasilipwe wafanyakazi wa nchi hii sijui wanachokifanya zaidi ya ngono zembe maofisini, watumishi wakulipwa nchii hii ni mwaalimu wa shule ya msingi na sekondari pamoja na askari magereza, hao wengine hawastahili chochote ni mzigo kwa taifa.
 
Wakati wa Mkapa tarehe 25 ya mwezi mishahara ilikuwa tayari, December, tarehe 20 mishahara ilikuwa imeshaingia watu wanapata moyo wa kazi. Huwezi amini hadi leo mishahara ya wengi wa wafanyakazi wa umma haijaingia. Mimi si mfanyakazi wa umma ila rafiki zangu wengi wanalia njaa. Ukiona serikali imeshindwa kulipa mshahara ujue imefika mwisho.

Mbona wengi walishapata?. kwani uliandikiwa kwenye makubaliano kuwa mshahara unatoka lini?. Tulifunze ku budget na kuweka hakiba.
 
Pesa hakuna, zimetumika na kuliwa na akina Machange, Shonza, Mtela n.k kupitia kwa Zitto ili kuiua CDM.

Ritz, Simiyu Yetu, Faiza Foxy, Kitambiheshima njoo mjibu huku kwa nini serikali imeshindwa kulipa watumishi mishahara.

Tiba
 
Nimeona uzi hapa unasema waziri husika anaumwa, sasa si mpaka apone ili aje kusaini hizo cheque watu waende bank? Nashauri tumuombee apone na kurudi kusaini wasije kukosa hata pesa ya sikukuu.
 
Kwishney,hizi pesa watakuwa wamepewa akina MM na vibaraka wake kununua watu watoe matamko ya kipuuzi bila wafanyakazi kujua!!!Kuna masalia nasikia hawalali wanazunguka nchi nzima kufanya lobbing kwa vibaraka wa prezo ili waitishe press,njaa mbaya sana...
Poleni wafanyakazi wa kikwete...waziri wa fedha ndio hivyo tena mtu ashaandaliwa wa kukaba gap(migiro)
 
wasilipwe wafanyakazi wa nchi hii sijui wanachokifanya zaidi ya ngono zembe maofisini, watumishi wakulipwa nchii hii ni mwaalimu wa shule ya msingi na sekondari pamoja na askari magereza, hao wengine hawastahili chochote ni mzigo kwa taifa.

Watake radhi waalimu na hao askari kwamba wao hawafanyi ngono??? au wao wanafanya ngono salama maofisini???
 
Japo na mimi ni mfanyakazi wa serikali na sijapata mshahara hadi leo, lakini wakati mwingine nafikiri wafanyakazi wa serikali wa Tanzania bora tu wacheleweshewe mishahara tu. Maana hawa watu kwa kujipendekeza CCM, utafikiri wao wanapata neema zaidi kuliko wengine. Na ukitaka ushahidi wa hili angalia hali ya upinzani mkoa wa Dar es salaam ambako ndiko kuna wafanyakazi wengi zaidi. Yaani wafanyakazi wa nchi hii ni mzigo usiobebeka kwa nchi yetu. Na huwa nadhani kwamba kuwa na hela ndiyo kunawapa kiburi. Bora tu waendelee tu kucheleweshewa mishahara iili hali zao zizidi kuwa ngumu na wakome kuipigia kura CCM.
 
Pesa hakuna, zimetumika na kuliwa na akina Machange, Shonza, Mtela n.k kupitia kwa Zitto ili kuiua CDM.

Ritz, Simiyu Yetu, Faiza Foxy, Kitambiheshima njoo mjibu huku kwa nini serikali imeshindwa kulipa watumishi mishahara.

Tiba
Sasa nimeanza kufumbuka macho kumbe ndiyo maana TISS hawakaguliwi hesabu zao? kumbe ndiyo maana Mkaguzi wa ndani wa pale magogoni alipostaafu tu akafa????
 
Na hizi sherehe za uhuru zinazokaribia tarehe 9 si ndio watachota karibu hela zote hazina kama mwaka jana bilioni 60 zilivyotumika
 
Japo na mimi ni mfanyakazi wa serikali na sijapata mshahara hadi leo, lakini wakati mwingine nafikiri wafanyakazi wa serikali wa Tanzania bora tu wacheleweshewe mishahara tu. Maana hawa watu kwa kujipendekeza CCM, utafikiri wao wanapata neema zaidi kuliko wengine. Na ukitaka ushahidi wa hili angalia hali ya upinzani mkoa wa Dar es salaam ambako ndiko kuna wafanyakazi wengi zaidi. Yaani wafanyakazi wa nchi hii ni mzigo usiobebeka kwa nchi yetu. Na huwa nadhani kwamba kuwa na hela ndiyo kunawapa kiburi. Bora tu waendelee tu kucheleweshewa mishahara iili hali zao zizidi kuwa ngumu na wakome kuipigia kura CCM.

Kweli kabisa mkuu, mimi mke wangu ni mtumishi wa serikali lakini kila nikimweleza juu ya udhaifu wa CCM kusimamia serikali hataki kunielewa kabisa ila mshahara wake unapochelewa anaishia kunilegezea macho na kuniita majina yote mazuri.
Hawa watumishi wa serikali ngazi ya kati na chini ambao ndio wengi na wahanga ndio wanaotuangusha nchi hii kwa kushindwa kuwa na misimamo juu ya mabadiliko.
 
CDM watawafilisi CCM kifedha baada ya CCM kufilisika kiakili.Uchaguzi uliorudiwa Arusha Mwigulu hakuwa na hela tena, sasa hivi watahitaji kuukubali ukweli kuwa bado uchaguzi unahitajika kwa kafulila,ahmed rashid
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom