Serikali yapiga marufuku kusafirisha Korosho ghafi nje ya nchi!

Hivi kwa mfano yaani... nasema kwa mfano nikiwa na maana sio kweli; yaani tuna-assume!!

Kwa mfano, wale jamaa unawafungia kwenye wodi kama ile wodi wanayofungiwa wale washikaji ambao madishi yakiyumba, basi hupelekwa kwenye wodi ya hopistali moja huko Makao Makuu... hospitali ambayo, ukitoa herufi zake ya pili na ya tatu, inafanana na jina la yule Jasusi inayesemekana huwa anamtia sana pressure jamaa mkuu wa hao jamaa niliowataja hapo mwanzo!!

Halafu tuna-assume, baada ya wale jamaa kuwafungia kwenye chumba kama cha wale washikaji wayumba madishi, hapo unaamua kuchora picha ya mlango kwa chaki au mkaa halafu unawaambia: "...haya! haya! Anayetaka kwenda home, mlango ule pale na aende tu!"

Sasa kwa mfano ndo inakuwa hivyo, mnadhani hawa jamaa wanaweza kujazana kwenye ile picha ya mlango uliochorwa kwa chaki, au?!
 
Wacha zitudodee hapa tuzile wenyewe! Tutakuwa na nyege balaaa. Kila unayekutana naye yuko anacheka cheka kama wale mabinti wa shule za boarding za wasichana ambao hawajawahi kuona mwanaume kwa term nzima!

Back
Top Bottom