Aisee. Haya jamani, nijuavyo watu wa system wako huko wanajua kama 2021 kokoa imenunuliwa 2500 au la. Na wanaweza wauseme ukweli.BEI YA KAKAO ( COCOA) NI ZAIDI YA SHANGWE SASA NI TZS 5,000/Kg KUTOKA TZS 2,000/Kg FY2020|21
__________________________________
Kuna baadhi ya wazembe wache wa kufikiri wanasema kupanda ghafla kwa bei ya mazao hasa ya kibiashara nchini wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan ni Matokeo ya Lock down ya CORONA,No hii si Sahihi na sikweli,Watu hawa Kwanini wasijiulize why bei hii haikupanda wakati Ule zaidi ya 3/4 ya dunia ilikuwa imejifungia ndani kwa "Lock down "wakiwa "Hawapandi wala Hawavuni " Kwanini Leo, ipande hasa kwa mazao yote ya kibiashara wakati huu ambao dunia yote iko nje na Rais ni Samia Suluhu Hassani? Ukweli ni kwamba wafanyabiashara wa ndani na nje ya Tanzania wamemuamini sana Rais Samia Suluhu Hassan hasa kwa kuondoa milolongo ya tozo|kodi zaidi 232 zilizoisababishia serikali kupoteza mapato yanayozidi Tshs 55BL na hii ndio dhana halisi ya Mzee JK "Ukitaka kula lazima uliwe",
Rais Samia Suluhu Hassan amepandisha bei ya kakao|Cocoa kwa zaidi ya 150% yaani bei imepanda marambili na nusu zaidi ya ile iliyokuwepo hadi mwanzoni mwamwaka huu wa 2021| Baadhi wanasema haya ni matokeo ya demand|Supply fine, Lakini kwanini Leo demand iwe kubwa wakati Samia Suluhu Hassan ni rais wa JMT au demand inamwogopa Rais Samia?! Ukweli ni kwamba demand ya Vyakula nje ni kubwa toka enzi na enzi kuliko tunavyoweza kusupply nje tatizo lilikuwa ni Urasimu|Sera zetu za kibiashara yote haya Rais Samia Suluhu Hassan ameyaweka sawa ndani ya muda mfupi,Waswahili wanasema "Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake Mpeni, Hatakama Rais Samia Suluhu Hassan si wa chama Chako,Hata kama humuungi mkono kwa sababu zozote zile lakini kazi anazozifanya kwaajili yetu na Watoto wetu,na kwa watoto wa watoto wetu zinastahili pongezi kubwa kwani zinaacha alama kwa kizazi hiki na kile kijacho,Tumuunge mkono ili tufike kwa kuwahi,
...Kazi iendelee...
Ase!Kapandishaje?
Yeye binafsi amefanya kitu gani hadi bei imepanda?
Apandishe na mahindi kama anao huo uwezo.
Wakulima wa mahindi wanasaga meno kwe bei ndogo ya mahindi.
Nasikia Burundi wanalima,Hizo factors zote zilikuwa zimamsuniri Samia? Acheni roho mbaya Mama kayapatia mambo kirahisi sana
BEI YA KAKAO ( COCOA) NI ZAIDI YA SHANGWE SASA NI TZS 5,000/Kg KUTOKA TZS 2,000/Kg FY2020|21
__________________________________
Kuna baadhi ya wazembe wache wa kufikiri wanasema kupanda ghafla kwa bei ya mazao hasa ya kibiashara nchini wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan ni Matokeo ya Lock down ya CORONA,No hii si Sahihi na sikweli,Watu hawa Kwanini wasijiulize why bei hii haikupanda wakati Ule zaidi ya 3/4 ya dunia ilikuwa imejifungia ndani kwa "Lock down "wakiwa "Hawapandi wala Hawavuni " Kwanini Leo, ipande hasa kwa mazao yote ya kibiashara wakati huu ambao dunia yote iko nje na Rais ni Samia Suluhu Hassani? Ukweli ni kwamba wafanyabiashara wa ndani na nje ya Tanzania wamemuamini sana Rais Samia Suluhu Hassan hasa kwa kuondoa milolongo ya tozo|kodi zaidi 232 zilizoisababishia serikali kupoteza mapato yanayozidi Tshs 55BL na hii ndio dhana halisi ya Mzee JK "Ukitaka kula lazima uliwe",
Rais Samia Suluhu Hassan amepandisha bei ya kakao|Cocoa kwa zaidi ya 150% yaani bei imepanda marambili na nusu zaidi ya ile iliyokuwepo hadi mwanzoni mwamwaka huu wa 2021| Baadhi wanasema haya ni matokeo ya demand|Supply fine, Lakini kwanini Leo demand iwe kubwa wakati Samia Suluhu Hassan ni rais wa JMT au demand inamwogopa Rais Samia?!
Ukweli ni kwamba demand ya Vyakula nje ni kubwa toka enzi na enzi kuliko tunavyoweza kusupply nje tatizo lilikuwa ni Urasimu|Sera zetu za kibiashara yote haya Rais Samia Suluhu Hassan ameyaweka sawa ndani ya muda mfupi,Waswahili wanasema "Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake Mpeni, Hatakama Rais Samia Suluhu Hassan si wa chama Chako.
Hata kama humuungi mkono kwa sababu zozote zile lakini kazi anazozifanya kwaajili yetu na Watoto wetu,na kwa watoto wa watoto wetu zinastahili pongezi kubwa kwani zinaacha alama kwa kizazi hiki na kile kijacho,Tumuunge mkono ili tufike kwa kuwahi,
Kazi iendelee...