Serikali yapandisha bei ya zao la Cacao mpaka Tzs 5015 kwa kilo

Nilinunua IVORY COCOA aseee nilijuta kumbe ni majani ya SOYA. Viwanda vyetu vya ndani vinatuangusha sana. Taste ya IVORY COCOA ni mbaya sana inazidiwa mara elfu moja na bidhaa za cocoa kutola Kenya.
 
Kwa namna hii hatutakaa tuendelee maana tuna tackle mambo kisiasa sana.
1. Bei ya kokoa ya sh 2500 ilikuwa lini? Na thamani ya sh ikilinganishwa na dola ilikuwa sh?
2. Kama kokoa ikinunuliwa kwa mkulima ikiwa wet kwa sh2500 ni sawa na sh 4200 ikikakauka, nje na gharama za kuivundika zaidi ya siku 5, kuianika wastani wa siku 3, kuisort, kifupi kokoa hiyo itafika zaidi ya 5000. Bado bei inaendeshwa na soko la dunia.
3. Pamoja na sh 5015 ya mnadani mkulima halipwi hiyo anakatwa na chama Kikuu cha ushirika na tume ya ushirika.
4. Hana ruzuku ya kutunza . Najua ipo nia njema ya serkali kusaidia wakulima lkn wafikiwe waulizwe vzr watatoa mawazo yao.
5. Kuhusu vyama vya msingi hiyo wasogelewe karibu
 
BEI YA KAKAO ( COCOA) NI ZAIDI YA SHANGWE SASA NI TZS 5,000/Kg KUTOKA TZS 2,000/Kg FY2020|21

__________________________________

Kuna baadhi ya wazembe wache wa kufikiri wanasema kupanda ghafla kwa bei ya mazao hasa ya kibiashara nchini wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan ni Matokeo ya Lock down ya CORONA,No hii si Sahihi na sikweli,Watu hawa Kwanini wasijiulize why bei hii haikupanda wakati Ule zaidi ya 3/4 ya dunia ilikuwa imejifungia ndani kwa "Lock down "wakiwa "Hawapandi wala Hawavuni " Kwanini Leo, ipande hasa kwa mazao yote ya kibiashara wakati huu ambao dunia yote iko nje na Rais ni Samia Suluhu Hassani? Ukweli ni kwamba wafanyabiashara wa ndani na nje ya Tanzania wamemuamini sana Rais Samia Suluhu Hassan hasa kwa kuondoa milolongo ya tozo|kodi zaidi 232 zilizoisababishia serikali kupoteza mapato yanayozidi Tshs 55BL na hii ndio dhana halisi ya Mzee JK "Ukitaka kula lazima uliwe",

Rais Samia Suluhu Hassan amepandisha bei ya kakao|Cocoa kwa zaidi ya 150% yaani bei imepanda marambili na nusu zaidi ya ile iliyokuwepo hadi mwanzoni mwamwaka huu wa 2021| Baadhi wanasema haya ni matokeo ya demand|Supply fine, Lakini kwanini Leo demand iwe kubwa wakati Samia Suluhu Hassan ni rais wa JMT au demand inamwogopa Rais Samia?! Ukweli ni kwamba demand ya Vyakula nje ni kubwa toka enzi na enzi kuliko tunavyoweza kusupply nje tatizo lilikuwa ni Urasimu|Sera zetu za kibiashara yote haya Rais Samia Suluhu Hassan ameyaweka sawa ndani ya muda mfupi,Waswahili wanasema "Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake Mpeni, Hatakama Rais Samia Suluhu Hassan si wa chama Chako,Hata kama humuungi mkono kwa sababu zozote zile lakini kazi anazozifanya kwaajili yetu na Watoto wetu,na kwa watoto wa watoto wetu zinastahili pongezi kubwa kwani zinaacha alama kwa kizazi hiki na kile kijacho,Tumuunge mkono ili tufike kwa kuwahi,

...Kazi iendelee...
Aisee. Haya jamani, nijuavyo watu wa system wako huko wanajua kama 2021 kokoa imenunuliwa 2500 au la. Na wanaweza wauseme ukweli.
Sidhani kama inaruhusiwa kumpa taarifa fake kiongozi
 
BEI YA KAKAO ( COCOA) NI ZAIDI YA SHANGWE SASA NI TZS 5,000/Kg KUTOKA TZS 2,000/Kg FY2020|21

__________________________________

Kuna baadhi ya wazembe wache wa kufikiri wanasema kupanda ghafla kwa bei ya mazao hasa ya kibiashara nchini wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan ni Matokeo ya Lock down ya CORONA,No hii si Sahihi na sikweli,Watu hawa Kwanini wasijiulize why bei hii haikupanda wakati Ule zaidi ya 3/4 ya dunia ilikuwa imejifungia ndani kwa "Lock down "wakiwa "Hawapandi wala Hawavuni " Kwanini Leo, ipande hasa kwa mazao yote ya kibiashara wakati huu ambao dunia yote iko nje na Rais ni Samia Suluhu Hassani? Ukweli ni kwamba wafanyabiashara wa ndani na nje ya Tanzania wamemuamini sana Rais Samia Suluhu Hassan hasa kwa kuondoa milolongo ya tozo|kodi zaidi 232 zilizoisababishia serikali kupoteza mapato yanayozidi Tshs 55BL na hii ndio dhana halisi ya Mzee JK "Ukitaka kula lazima uliwe",

Rais Samia Suluhu Hassan amepandisha bei ya kakao|Cocoa kwa zaidi ya 150% yaani bei imepanda marambili na nusu zaidi ya ile iliyokuwepo hadi mwanzoni mwamwaka huu wa 2021| Baadhi wanasema haya ni matokeo ya demand|Supply fine, Lakini kwanini Leo demand iwe kubwa wakati Samia Suluhu Hassan ni rais wa JMT au demand inamwogopa Rais Samia?!

Ukweli ni kwamba demand ya Vyakula nje ni kubwa toka enzi na enzi kuliko tunavyoweza kusupply nje tatizo lilikuwa ni Urasimu|Sera zetu za kibiashara yote haya Rais Samia Suluhu Hassan ameyaweka sawa ndani ya muda mfupi,Waswahili wanasema "Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake Mpeni, Hatakama Rais Samia Suluhu Hassan si wa chama Chako.

Hata kama humuungi mkono kwa sababu zozote zile lakini kazi anazozifanya kwaajili yetu na Watoto wetu,na kwa watoto wa watoto wetu zinastahili pongezi kubwa kwani zinaacha alama kwa kizazi hiki na kile kijacho,Tumuunge mkono ili tufike kwa kuwahi,

Kazi iendelee...

Mkuu safi sana,ila nina Maswali 2/3
1.Kwa waliosoma Uchumi watasaidia pia,Hivi. Bei ya Bidhaa hupandishwa na Soko huria au Serikali?
2.Bei ya Mazao haswa ya Biashara Yanayokwenda Nje kwenye soko la Dunia Nilijua Bei huko Ikipanda na Huku Inapanda kama Ilivyo Petrol Tunaambiwa Bei ya Petrol soko la Dunia Ikipanda na Huku Bei inapanda na Kinyume chake....Vipi Kuhusu Cocoa Pekee?
3.Vipi Kuhusu Mazao Mengine ya Biashara kama Mahindi,Pamba,Korosho,Nk?
Kwanini na Hayo yasipandishwe?
Mimi Hupenda Biashara endelevu win win situation.
4.Kuna Baadhi ya Mazao kama Serikali Ilikuwa inaamua Kuyanunus Kwa Bei elekezi yenyewe kwa sababu Inaenda Kuuza Nje! Sasa ina maana Kilichopandisha Bei ni Urasimu na Kodi mbalimbali?
Hizo kodi mbalimbali Hazipo Kwenye Mazao mengine au Cocoa tuu?
 
Back
Top Bottom