Serikali yaonya matumizi ya picha za Marais Wastaafu wa awamu za 2, 3 na 4

Rais magufuli Léo amesema amesoma ripoti nzima n'a hajaona Mahali walipotajwa mkapa n'a kikwete
Na amesema waachwe wapumzike kwa kuwa walifanya kazi kubwa kulitumikia taifa

Nini maoni yako

Chanzo Chanel ten
Sasa mkuu kama hawajahusika basi hii issue asikamatwe mtu yoyote aliyefanya kazi chini yao namaanisha Chenge na wengine waliotajwa, adeal na hao wachimbaji na wamalizane tu, otherwise haitoleta mantiki yoyote
 
Hii nchi viroja haviishi!? Nani katuroga?
Acha tuendelee kuwa masikini tu.
 
Rais magufuli Léo amesema amesoma ripoti nzima n'a hajaona Mahali walipotajwa mkapa n'a kikwete
Na amesema waachwe wapumzike kwa kuwa walifanya kazi kubwa kulitumikia taifa

Nini maoni yako

Chanzo Chanel ten
Kwani lini alijua kusoma?

Jikumbushe

1. Bashite fa fa fa kapewa ukuu wa mkoa baada ya kusoma CV yake usiku kucha.

2. Gambo amehujumiwa na mahakama kwa ukosefu wa maadili na kutakiwa alipe fidia ya junta mil 25. Alifukuzwa kazi ya ukuu wa wilaya na JK. Kaoma CV yake usiku kucha hakuona kitu kama ukuu wa wilaya hatimaye wa mkoa.

Unachezea kusoma wewe? Huyo mtu wenu hamnazo
 
Unafukua makaburi ila hutaki kuona mifupa ya mpendwa wako...sasa kitu gani kilikupelekea kufukua kwa ving'ora wakati unajua kati ya hayo makaburi mpendwa wako hawezi kukosa...
 
Hii nchi ya ajabu sana ya kuwapangia hata watu nini cha kufikiri,.... mnataka tufuate mnachosema kama kasuku!!!!!!!!!
Katiba imewapa kinga ya kushtakiwa na sio kusemwa kwa mapaya waliofanya. Wasitupangie cha kusema kama mmekamata wezi na mnataka kusifiwa tu na kuliosababisha wizi mtulia tunapowasema.
 
Serikali imepiga marufuku picha za mkapa kikwete kutumika popote pâle kuhusu swala hili la madini

Onyo hilo limetolewa n'a wizara y'a habari utamaduni n'a michezo
 
Ina maana picha za marais wastaafu zimepigwa ban kuonekana kwenye vyombo vya habari! Du kweli hii Tanzania ya viwonder
 
Mnapotuuliza watanzania nani aliyetuloga tunawajua waliotuloga si Mwal Nyerere waliotuloga ndiyo hao hao,pia mnanikumbusha mbali mmoja wahao alimufukia mchumba wangu hapo Bulyanhulu.Watanzania sisi hatutaki mazigaombwe.Hao ndiyo waliotuloga MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU.
 
Mahakaka zimepigwa marufuku kuweka jina la marais hata kama watahitajika kwenye ushahidi!
 
Back
Top Bottom