Punainen
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,304
- 1,056
Mkuu sibusiso dlomo, hoja yako naikubali, ila kikwete hakujenga uwanja wa taifa.Madhara ya kisiasa haituhusu sisi kama alikuwa anahusika lazima atajwe.....mbona tunawataja kwenye mazuri na mabaya wakubali kutajwa
Mkapa daaraja lake lile kila mtu anamkumbuka
Jk uwanja wa taifa n.k