Serikali yaonya matumizi ya picha za Marais Wastaafu wa awamu za 2, 3 na 4

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
TAMKO LA MATUMIZI YA PICHA ZA MARAIS WASTAAFU KWA VYOMBO VYA HABARI NA MITANDAO YA KIJAMII​

image-5.jpeg



Moja ya Gazeti Linalomilikiwa na Freeman Mbowe/CHADEMA.
FullSizeRender_10.jpg
 
Rais magufuli Léo amesema amesoma ripoti nzima n'a hajaona Mahali walipotajwa mkapa n'a kikwete
Na amesema waachwe wapumzike kwa kuwa walifanya kazi kubwa kulitumikia taifa

Nini maoni yako

Chanzo Chanel ten
 
Nchi za wenzetu hata ukifanya kosa leo uwe ni Rais, uwe Jaji - wewe ni ndani. Nchi za kiafrika kuna ka kulindana-lindana ambako ndiko kanatutafuna.
 
Tukihoji umakini na udhati wa vita/kampeni kwenye baadhi ya mambo tunastahili kusikilizwa.

NB:Mleta mada kichwa hakiendani na maudhui ndani ya waraka husika. Lakini hiyo content still inaacha taswira tata ya nia na mbinu za vita hii.
 
Back
Top Bottom