Serikali yaonya matumizi ya picha za Marais Wastaafu wa awamu za 2, 3 na 4

Adabu muhimu sana, Ripoti imeanza uchunguzi kuanzia walipoanza kusafirisha mchanga Mwaka 1998 mpaka 2017 alafu mtu mmoja anazungumza habari za 1994 kama sio ukichaa ni nini
 
Rais magufuli Léo amesema amesoma ripoti nzima n'a hajaona Mahali walipotajwa mkapa n'a kikwete
Na amesema waachwe wapumzike kwa kuwa walifanya kazi kubwa kulitumikia taifa

Nini maoni yako

Chanzo Chanel ten
Hapo ndipo anapokosea.
na kuonekana ccm ni ile ile.kwanini hawalinde?
Anawaogopa nini?
Ni kweli hawana la kujibu?
Mwambieni aache kuwatetea atadharaurika bure.
 
Bado mnaamini kuna jitihada za kutetea rasilimali zetu?Always nchi hii washika dau hu deal na matokeo si chanzo, hilo limepita na kesho utaskia tunaambiwa TUNAIBIWA
 
Tunapoelekea na habari ya makinikia itazuiwa kuandikwa kwamba ishu kwenye mikono salama ya Raisi na huyo jamaa wa Barick
 
Nchi za wenzetu hata ukifanya kosa leo uwe ni Rais, uwe Jaji - wewe ni ndani. Nchi za kiafrika kuna ka kulindana-lindana ambako ndiko kanatutafuna.
ndio maana hizo nchi zimeendelea siyo sisi tunalindana lindana tu kwa mambo ya kijinga, inatakiwa ijulikane kabisa kiongozi yoyote atakefanya kazi kinyume na sheria na kutokuzingatia maslahi ya taifa atashtakiwa tu hata awe rais au wakuu wa majeshi
 
Back
Top Bottom