Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,553
- 12,507
Kwenye Kindege na kwenye Dubu la wachina hakuna kodi
We ngedere waziri ametoa mapendekezo wabunge wataanza kuijadili wiki ijayo. Vijana wa sk hz ni watupu kabisaNilikuwa nafikiri bunge ndio lina uwezo wa kuongeza au kupunguza kodi tena baada ya kujadiliwa, kupitishwa na kusainiwa na Raisi, kumbe mtu mmoja tuu kutoka wizarani anaweza kuwapiga kodi mamilioni ya watanzania akiamua tuu
Kumbe ni mapendekezoWe ngedere waziri ametoa mapendekezo wabunge wataanza kuijadili wiki ijayo. Vijana wa sk hz ni watupu kabisa
HahaKwa nini serikali nayo isiwe inaweka mkeka ili wapate hizo hela?!
Wanajua uchungu wa kubeti kweli hao viongozi?! Wako bungeni tu! Wawe wanachambua na timu za kuwekea mkeka!? Manyoook!
Nchi imebarikiwa rasilimali lukuli ila mmeziuza na mna tujazia matozo tupu.View attachment 3366167
Serikali imeongeza kiwango cha kodi kwa washindi wa michezo ya kubashiri (Betting) ambapo Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema Ongezeko la kiwango hiko cha fedha kitakachopatikana, asilimia 70 itaenda katika mfuko wa serikali kupambana na Ukimwi na asilimia 30 kuchangia mfuko wa bima ya afya.
“Kufanya marekebisho kwenye sheria ya michezo ya kubahatisha sura namba 41. Kuongeza kiwango cha kodi kwenye zawadi ya ushindi kutoka asilimia 10 hadi asilimia 15,” amesema Waziri Mwigulu Nchemba bungeni Dodoma leo wakati akisoma bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026. ✍️
Unaposema mtu mmoja alafu unajua huyo ni waziri na eneo lake lakufikisha ilo pendekezo la kodi ni bungeni una maanisha nini?..au wewe kwako bunge na waziri ni hujui anafanyaje kazi.Muwe mnajielimisha kwanza kabla yakujiandikia jambo kwa kukosoa wakati kumbe wewe ndiye hujui.Nilikuwa nafikiri bunge ndio lina uwezo wa kuongeza au kupunguza kodi tena baada ya kujadiliwa, kupitishwa na kusainiwa na Raisi, kumbe mtu mmoja tuu kutoka wizarani anaweza kuwapiga kodi mamilioni ya watanzania akiamua tuu