Serikali yaondoa zuio kuuza mazao nje ya Nchi

Serikali yaondoa zuio kuuza mazao nje ya Nchi

serikali iwakomoe wananchi ili ifaidike kwa lipi kinachotokea uwa ni uhaba wa taarifa na utaratibu sahihi katika kufanya maamuzi na si kukomoana!.
Kwa taarifa yako yule bwana mkubwa anawachukia sana matajiri, ndio maana tra kodi inazidi mtaji, wakulima wafe na mazao ndani, kwa kuwa alishatajitangazia yeye ni raisi wa maskini, sasa unataka wananchi wawe matajiri ili iweje, yeye raga yake ni kutawala maskini
 
hahaa we mtata sana jamaa kwamba ye ni raisi wa masikini wananchi wakiwa matajiri atakuwa raisi wa nani!!?
 
  • Thanks
Reactions: cai
Hili swala la chakula huwa la msimu tu miaka kadhaa neema na mwaka mmoja huwa nakma. Na hii baadhi ya nchi ni toka enzi na enzi
 
Kwani mkulima uko peke yako? Mbona hata Zambia wanalima mahindi mengi tu? Kwani tulivyozuia kuuza mahindi nje walikuwa wananunua wapi?
Zambia mahindi yao kwenda Kenya wanapitishia wapi?

Ukipata jibu utapata kujua pia kwa nini wakenya watafaidika na chakula kutoka Tanzania.
 
Unatengeneza tatizo,unaacha watu wateseke na tatizo hilo,alafu baadae unakuja kulitatua mwenyewe,na kuonekana hero,oldest trick in the book.

Mkuu wamelitatua wapi? Ukitaka kuona vituko vya nchi hii nenda na mazao yako jaribu kupitisha mpakani uone kama utaeleweka. Hayo ni majibu ya kuwaziba midomo wabunge, utekelezaji wake ni sifuri. Ngozi nyeusi ni laana ndugu.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Mnawaomba Swiss wawekeze kwenye Mifugo?

Yaani serikali inashindwa kuweka Budget ya kutosha wizara ya Mifugo, wataalamu wetu wa SUA wafanye kazi?
Huyu jamaa ni kichwa maji...

Wataalamu wengi migugo wasomi wamepoteza muda wao wa miaka 5 vyuoni halafu serikali still haioni umuhimu wao inakambilia kuleta wataalamu kutoka Switzerland .....

Inasikitisha kwa kweli...
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Fungeni mikanda sasa otherwise mtaanza kulia bei juu muda si mrefu na kelele za njaa kama mwaka Jana.

Unataka bei ya mahindi iendelee kuwa chini huku mkulima akiendelea kuwa masikini huku nyie wa mjini mkiendelea kufungia suruali juu ya tumbo kwa kula chakula cha bei ya kutweza nguvu ya wakulima. Ukiona bei ya mahindi iko juu, kalime uone ugumu wanaokutana nao wakulima.
 
Eti kijana hana ajira kalima eka tano anaambiwa asiuze mahindi kwasababu atakufa njaa,how come
 
BIASHARA NI DIPLOMASIA!

So far, ingependeza kama mheshimiwa angemtuma waziri mkuu kwenda Kenya 'kutafuta masoko' ya mahindi. Yani kuwaomba wakenya wanunue mahindi toka Tanzania maana wakenya walisusa kununua mahindi. Hata ukifungua mipaka kama wanunuzi wamesusa ni kazi bure. So PM akaongee na Kenyata amweleze siuation tuliyokuwa nayo mwaka jana kabla ya kupiga marufuku export ya mahindi kwa kuwa sisi wenyewe tulikuwa na sintofahamu juu ya uhakika wa chakula.
Akitoka hapo PM asafiri kwenda India akaongee na waziri mkuu, amweleze jinsi livelihood ya wakulima wa Tanzania inavyotegemea soko la mbaazi la uhakika la India, hivyo PM wa India afanye kila analoweza kuhakikisha mbaazi za Tanzania zinapata soko.
Mwisho kabisa PM aongee na major exportes wa mbaazi wa hapa Tanzania na wale wa nje ya nchi ili 'wawezeshwe' kuexport mbaazi kama ilivyokuwa mwazo.
PM akimaliza hii task achukue na likizo ya mwezi mmoja kwenda kula bata Hawaii!

hapo kwenye red : siyo sahihi. wakenya ni wanunuzi wakubwa wa mahindi yetu . Lakini wanaweka fitna za aina mbili:
1. Ukipeleka mahindi kwa formal market, hu claim kuwa mahindi yetu ( Other cereals as well) ni poor quality na yana aflatoxin kwa sababu ati hayakaushwi vizuri.
2. Ukipeleka mahindi kwa njia ya panya uatuza kwa uhuru zaidi but ukisimamiwa na dalali wa kenya, so ,napo hupati premium price
 
Kama hili litafanyika bila "mizengwe" basi itakuwa heri sana kwa wakulima na sasa wataanza kufaidika na kilimo chao. Hasa hasa wakulima wa mahindi. Kenya na Sudani Kusini wanahitaji sana mahindi.
sudani kusini tunaweza kuwalisha cereals kwa silimia 100
 
BIASHARA NI DIPLOMASIA!

So far, ingependeza kama mheshimiwa angemtuma waziri mkuu kwenda Kenya 'kutafuta masoko' ya mahindi. Yani kuwaomba wakenya wanunue mahindi toka Tanzania maana wakenya walisusa kununua mahindi. Hata ukifungua mipaka kama wanunuzi wamesusa ni kazi bure. So PM akaongee na Kenyata amweleze siuation tuliyokuwa nayo mwaka jana kabla ya kupiga marufuku export ya mahindi kwa kuwa sisi wenyewe tulikuwa na sintofahamu juu ya uhakika wa chakula.
Akitoka hapo PM asafiri kwenda India akaongee na waziri mkuu, amweleze jinsi livelihood ya wakulima wa Tanzania inavyotegemea soko la mbaazi la uhakika la India, hivyo PM wa India afanye kila analoweza kuhakikisha mbaazi za Tanzania zinapata soko.
Mwisho kabisa PM aongee na major exportes wa mbaazi wa hapa Tanzania na wale wa nje ya nchi ili 'wawezeshwe' kuexport mbaazi kama ilivyokuwa mwazo.
PM akimaliza hii task achukue na likizo ya mwezi mmoja kwenda kula bata Hawaii!
USHAURI MZURI SANA HUU, . . . I wish all responsible authorities waone ushauri huu
 
Soko lilikuwa kenya, tukawaringia wakagiza mahindi zambia n ayakapita hapa kwetu horohoro pale palikuw afujo kwa mahindi ya zambia,
Mwaka huu kenye wamelima mahindi ya kutosha na sasa na wao wanatafuta soko la mahindi yao, unafungua mpaka wakamuuzie nani leo ?
 
Back
Top Bottom